nokia map zabadilishwa jina zaitwa here na zipo cross platform

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
30,733
39,836
nokia naona imekua charity company sasa wamepatner na mozilla wametengeneza map itaitwa "HERE" hizo map zitakua ni cross platform yaani zitapatikana pia android na ios.

Pia nokia wameinunua kampuni ya earthmine kwa ajili ya 3d map so kutakua na more 3d 3d kwenye map mpya.

nokia-maps.jpg


so say goodbye kwa nokia maps

Wenye android na ios sasa mtaondoka kwenye makucha ya google map
 
Nipateje Map au Earth ambayo unaweza kuona live events au mpaka ya kununua? Kwenye PC ama kwenye HTC yangu
 
Nipateje Map au Earth ambayo unaweza kuona live events au mpaka ya kununua? Kwenye PC ama kwenye HTC yangu

Live event kvp? Ina maana kama mtu anatembea marekani basi unamuona? Sidhani kama zipo na kama zipo basi ni za maeneo machache sana maana hawaruhusiwi kwa sababu za usalama.
 
James Bond style!?
Omba tu internship au field NASA, ukimaliza utajua the way out mzee, teh teh.

Hizo map zikitoka itakua hamna haja ya kuwa na maspy kwenye nchi nyengine maana mnaview tu kambi za jeshi then mnabutua
 
unatak kuniamia nokia map itakuwa bomba luliko google map?
mmh dont think so ila subiri zitoke. na zinatoka lini?
 
Back
Top Bottom