nokia here map zatoka kwenye iphone (ios)

Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,824
Points
2,000
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,824 2,000
kama mtakumbuka wiki kadhaa zilizopita nilipost kua nokia maps zimebadilishwa jina na sasa zimeitwa here maps na nikasema zitakua cross platform kwa kuletwa kwenye device mbalimbali

leo nokia wamerelease here map kwa ios kama una iphone nenda app store ukadownload, brakelyn na i144 hope mtakua wa kwanza kudownload.kwa wale wa android soon mtapata yenu.

Wa apple msiwory hamtapotea tena
 
nurbert

nurbert

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
1,926
Points
1,225
nurbert

nurbert

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
1,926 1,225
hasa kwahyo wa symbian hatuna haja ya kudownload hyo thoug we got nokia map.. Or na sis pia tunahusika
 
Brakelyn

Brakelyn

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2009
Messages
1,250
Points
1,225
Brakelyn

Brakelyn

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2009
1,250 1,225
kama mtakumbuka wiki kadhaa zilizopita nilipost kua nokia maps zimebadilishwa jina na sasa zimeitwa here maps na nikasema zitakua cross platform kwa kuletwa kwenye device mbalimbali

leo nokia wamerelease here map kwa ios kama una iphone nenda app store ukadownload, brakelyn na i144 hope mtakua wa kwanza kudownload.kwa wale wa android soon mtapata yenu.

Wa apple msiwory hamtapotea tena
nimeiDownload ipo vizuri sana hiyo,,

Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,824
Points
2,000
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,824 2,000
hasa kwahyo wa symbian hatuna haja ya kudownload hyo thoug we got nokia map.. Or na sis pia tunahusika
ushawahi kuona mzee wanae hawana ada then anawanunulia bia bar nzima ndo nokia sku hizi. Os zake hazijali anajali os za wenzake.

Hizo map zipo wp8 wp7.5 na ios tu hamna ya symbian wala meego.

Sema still ovi map bado nzuri
 
M

Matunyengule

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Messages
720
Points
225
M

Matunyengule

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2012
720 225
chief-mkwawa vipi kuhusu MAEMO 5, maana kuna emulator ya WP je inaweza kutumika kurun hiyo app?
 
Last edited by a moderator:
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,824
Points
2,000
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,824 2,000
chief-mkwawa vipi kuhusu MAEMO 5, maana kuna emulator ya WP je inaweza kutumika kurun hiyo app?
dah am not sure kuhusu hiyo emulator maana nnayoijua mimi inabadilisha interface tu na sio kuload apps. Ina emulate wp7.5 au pamoja na wp8?
 
Last edited by a moderator:
M

Matunyengule

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Messages
720
Points
225
M

Matunyengule

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2012
720 225
dah am not sure kuhusu hiyo emulator maana nnayoijua mimi inabadilisha interface tu na sio kuload apps. Ina emulate wp7.5 au pamoja na wp8?
Mkuu nashukuru kwa response yako, nimejaribu kugoogle. nikaona kuwa Maemo haipo kwenye OS zinazoweza kurun HERE map.
 
i411

i411

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
836
Points
225
i411

i411

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
836 225
kama mtakumbuka wiki kadhaa zilizopita nilipost kua nokia maps zimebadilishwa jina na sasa zimeitwa here maps na nikasema zitakua cross platform kwa kuletwa kwenye device mbalimbali

leo nokia wamerelease here map kwa ios kama una iphone nenda app store ukadownload, brakelyn na i144 hope mtakua wa kwanza kudownload.kwa wale wa android soon mtapata yenu.

Wa apple msiwory hamtapotea tena
Nimedownload lakini kwa hapa bongo nikimeo balaaaa sioni uzuri wake. Pia bado kama haijakamilika hawa jamaa kama wamelipua sana kutoa tuu map kabda ya google. Halafu hii map nikama tuu unaacces zile online maps na file lenyewe ni 3mb so there is nothing much there mbwembweee tuuuu
 
kavulata

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
4,553
Points
2,000
Age
53
kavulata

kavulata

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
4,553 2,000
Tunataka kusikia waliokumbwa na njaa huko vijijini watapataje chakula kunusuru maisha yao sio Nokia, os, apps, touch screens hapa! alah!
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,824
Points
2,000
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,824 2,000
Nimedownload lakini kwa hapa bongo nikimeo balaaaa sioni uzuri wake. Pia bado kama haijakamilika hawa jamaa kama wamelipua sana kutoa tuu map kabda ya google. Halafu hii map nikama tuu unaacces zile online maps na file lenyewe ni 3mb so there is nothing much there mbwembweee tuuuu
hebu onyesha na wewe screenshot basi

pia ukumbuke hizo 3mb + 10mb za kucache map kutumia offline.

Naona tayari sasa hivi nokia map zipo top 4 ya free apps za apple na ina masaa 24 tu after week itavunja rekodi zote
 
i411

i411

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
836
Points
225
i411

i411

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
836 225
hebu onyesha na wewe screenshot basi

pia ukumbuke hizo 3mb + 10mb za kucache map kutumia offline.

Naona tayari sasa hivi nokia map zipo top 4 ya free apps za apple na ina masaa 24 tu after week itavunja rekodi zote
IMG_1765.PNGIMG_1766.PNGIMG_1768.PNGIMG_1769.PNGhizo ni za nokia here
IMG_1767.PNGIMG_1770.PNGhizi ni za apple ni more user friendly siyo tuu kwamba nimezizoea na ni more stable hizi za nokia zinacrush na colours/interface are depressing. Nasubiria google maps app labda zitakuwa better na free turn by turn hata huku bongo manake map za apple their better than what we used to have from google maps. Hizi za nokia may be they need more time to polish a good one to iOS users standards.
 
Forum statistics

Threads 1,294,737
Members 498,025
Posts 31,186,415
Top