Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,143
- 3,848
Hatimaye kampuni ya Nokia waachia rasimi ramani zao za HERE maps kwa ajili ya vifaa vyote vya Android, ingawa awali ramani hizi zilikuwa zikitumiwa na Samsung Android devices pekee kwa makubaliano maalumu na Nokia kwa sasa zitapatikana kwa vifaa vyote vya Android.
Ingawa ramani hizi zipo kwenye majaribio kutokana na tatizo la kufutika kwa sauti zilizorekodiwa baada ya ya kufuta caches, HERE maps zinaaminika itakuwa ni mbadala wa ramani za Google hasa kwa kuwa na sifa ya offline (kutumia ramani bila data).
Kwa wale wenzangu na mimi wasiopenda kupitwa na vitu unaweza kupakua APK file beta version kupitia hapa HERE for Android beta | HERE