Nokia LUMIA, Msaada tafadhali

J33

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
1,551
Reaction score
1,524
Nina nokia lumia kwa bahati mbaya nimesahau passwards za microsoft account na kila ninapotaka ku update application inataka niweke passward. Tatizo ni kuwa wakat naanza kutumia hii sim sikuwa na interest yeyote na microsoft account nlisajil kwa ajil ya kufanya sim ifanye kazi tu.
 
huwa mara nyingi ukitengeneza acount kunakuwa na recovery option unaposahau password kama vile namba ya simu au swali la siri

ingia outlook.com halafu tafuta option ya kuforget password uangalie kama kuna njia ya kupata password unayoikumbuka.

kama hakuna itabidi tu uformat uanze upya
 
Nimejaribu kufanya ivyo nikashindwa so nataka kufomart ndio sijajua namna ya kuifomart
(Msaada pls)
 
Okey thanx

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…