Wadau hii simu dukani inauzwa bei gani.kuna jama anataka kuniuzia ya kwake used 1M je hii bei imekaa mahala pake?
Hio ndo bei ya mpya tena genuine.
Iphone ni nzuri kuliko?
Nashukuru wa dau.mi nilisema nimpe laki sita amekataa kata
Hilo sio lakuuliza mkuu' iPhone ndo habari ya mujini!! Sim bora kuliko zooooote! Wengine wanajikongoja tu nakuiba teknolojia! Niambie!
1M kitu cha mkononi ,jaman tuweni makin kwa lipi kilichomo mpaka upagawe hivyo?