CORAL
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 2,827
- 1,862
Ni baada ya kukanyagwa na trekta kubwa na hivyo kulazimika kubeba uzito wa tani 24! Kama mimi nisingeitafuta, kungekuwa na haja gani? Lakini mmiliki wa simu hiyo aitwaye Ossi Pyykkonen aliitafuta! Ilikuwa imeharibika haitambuliki lakini iliweza kuita katikati ya mavumbi! Ilikuwa bado na uwezo wa kupiga na kupokea simu! Pyykkonen aliapa kuwa atanunua tena Nokia Lumia 920! Ni ajabu na kweli. Ebu soma kisa hicho hapa.