Nokia lumia 920 won smartphone of the year award

Nokia lumia 920 won smartphone of the year award

lol mkuu hio link mbona sio? Japo zimetoka simu nyingi lakini lumia 920 imekua inspiration ya technology zote za simu toka ilipotoka. Tumeona htc one na galaxy s4 walivyoiga feature zake. Hizi ndio baadhi ya tuzo za lumia 920.

Imeanza kuuzwa november 2012 marekani na december 2012 kwa baadhi ya nchi kama china na uingereza by december 31 2012 lumia 920 ilikua na jumla ya tuzo 12.

1. Top smartphone ya 2012 v3 uingereza
2.readers choice best smartphone ya 2012 kutoka gizmodo
3.tuzo ya if design
4.mobil award denmark
5.thenextweb usa best mobile award
6.top score award mobil sweden
7.the best high end mobile for holiday by CNET
8.Best Productivity Phone, Best Camera Phone, Best
Mapping Phone, Best Windows Phone, Runner up,
Arstechnic, USA (mshind wa pili)
9.Top 25 Tech of 2012, Mashable, USA (hapa walijumuisha mars rover, google glass na technology zote)
10.Top Smartphone of the Year, Mybroadband, South Africa (hadi africa ilishinda)
11.Best AT&T Smartphones of 2012, BGR, USA
12.independent uingereza

kuzisoma kwa undani tuzo zote hizo 12 gonga link hapo chini
12 awards the Nokia Lumia 920 won in 2012 – Nokia Conversations : the official Nokia blog

but hio ilikua ni hadi december, kuanzia january hadi march still lumia 920 imeendelea kuchukua tuzo. Baadhi ni hizi ila data kamili zitatolewa mwez wa 4 kwenye report ya nokia ya january hadi march.

-tuzo ya simu bora ya mwaka kutoka engadget ilifanyika february

Vote for the 2012 Engadget Awards!

-mwisho kabisa(sio tuzo) ni phone arena poll ambayo imefanyika baada ya galaxy s4 lumia 920 ikawashinda wote galaxy s4 na htc one.

http://www.phonearena.com/news/The-Samsung-Galaxy-S-4-wont-be-the-years-only-hot-smartphone_id40985
 
kuna kila sababu ya kumiliki Lumia 920.
Haka ka 510 ngoja nitafute mtu wa kudampia.
 
300px-Nokia_Lumia_920_on_JBL.jpg
lumia920_2330131b.jpg
bgr-nokia-lumia-920-1.jpg
 
wapi apple, wapi htc, wapi sumsung nokia oyeeeeeeee
 
wapi apple, wapi htc, wapi sumsung nokia oyeeeeeeee

Hao jamaa wapo katika best selling devices with usefull features! Hao wa "oyeeee" wapo katika best inventors of real life useless features! ( ata samsung ndipo anapoelekea nae)
 
Back
Top Bottom