Nokia lumia 920 vs Experia S

Ngongoseke

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
3,202
Reaction score
1,464
Jamani wataalamu wa maujanja hebu tumwagieni na sisi hapo ipo zaidi? Sonyericsson experia s na nokia lumia 920

Nawasilisha
 
The verge mkuu wanadeal na simu gani?

mambo ya electronics simu za aina zote computers. ina wataalamu ambao wao wanafanya uchambuzi tu.

Usije ukamisconcept wao si watengenezaji ni wachambuzi.
 
mbona kuna vitu hapo juu vipo kwenye sony halafu kwenye nokia hamna kama vile redio FM
 
naona nokia wamefail kupunguza weight. Nafikiri ndio itakuwa device heavy kuliko other high end smartphones
 
naona nokia wamefail kupunguza weight. Nafikiri ndio itakuwa device heavy kuliko other high end smartphones

Mkuu hio simu ina vitu vipya vingi ambavyo havi exist simu nyengine thats why.

Na uzito wake still mdogo hata robo kilo haijafika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…