Nokia lumia 900 inanipasua kichwa !!

Nokia lumia 900 inanipasua kichwa !!

MWAMUNU

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
870
Reaction score
531
Wanajamvi heshima mbele !!!
bila kupoteza muda niende kwenye mada,kwa kifupi nina simu yangu lumia 900 ila inanichanganya vitu vifuatavyo !!
1.Nashindwa kupata huduma za m-pesa
2.Nashindwa kupata vifurushi mbalimbali vya internet yaani ukipiga *149*01# inasema session terminated.
3.Niki download any file siwezi kulifanyia kazi kwenye pc japokuwa nime install zune software na nina account ya skydrive,kwa kifuti phone storage siioni kwenye My computer.
4.Siwezi kupokea au kutuma file kwa bluetooth,
5.Pdf files hazina option ya share on skydrive !!
Haya ni kwa uchache tu,naomba wenye ujuzi watiririke maana naelekea kukata tamaa.Kwa kifupi hizi windows phone kwangu mimi sio user friendlly.
Naomba kuwasirisha.
 
Mkuu vipengele viwli vya juu havina solution maana simu zote za windows phone 7 hazina ussd

Kipengele cha tatu ni kua wp hazina system file manager ndo mana huyaoni ili uyaone inabidi uhack simu xda-developer wana njia nyingi za kuhack hio simu kama unapenda kutake risk nenda

Kipengele cha nne nokia kakisolve upgrade simu yako kwenda wp7.8 nenda store kadownload bluetooth share

Kuhusu kushare pdf kwenye skydrive sipo familiar sana na hio ishu ntajaribu kuiangalia kama kuna solution
 
well done technician,,...!!
 
Nashukuru mkuu
kuhusu ku update software nimeshafanya hilo zoezi ipo version 7.8 so ngoja nijaribu kuitafuta hiyo bluetooth
 
Ukiingia store utaona sehemu imeandikwa nokia collection ingia hapo utaikuta
 
Thanx mkuu, ujue nimependa sana hizi lumia series the way zinaperform katika internet.Nitafute lumia ipi ambayo haina hizi changamoto nakutana nazo kwenye hii 900 ?
 
Mkuu lumia 720 exactly ndio utafurahia perfomance nzuri isio na limitation kama hizo huku ukiwa na umbo kama la lumia 900.

720 kioo ni kama 900 4.3 sema chakwake kipo curve ni nyembamba zaidi ina wireless charge. Betry ya ukweli 60 working hours

Camera yake ipo unique dunia nzima (6mp) na inachukua picha za lowlight. Camera ya mbele ina pembe pana inachukua hadi watu wanne kwa mpigo

Inauzwa laki 6 na nusu tanzania na 29,000 kenya (520,000) so kama una ndugu kenya utapata laki 5.

Kama bei ni kubwa zipo hizi nazo hazina hizo limitation

Lumia 620--- around laki 4
Lumia 520---around laki 3
 
Nimejaribu android, ios, wp, bb bado sijapata replacement ya symbian. Nasubiria kutest firefox os na sailfish maybe watakata kiu yangu

duh! nimeishia n95 8gb, toka niingie android naona nilipoteza muda kwenye symbian.
 
Nimejaribu android, ios, wp, bb bado sijapata replacement ya symbian. Nasubiria kutest firefox os na sailfish maybe watakata kiu yangu

hapa umen Bust! kwan Hawa Jolla Bado hawaja release Device Hata 1!? Then na hii Asha Os Tuipe Mda Waizd kuidevelop.... Mayb Wali i drop symbian na Meego Ili waanze Kudevelop Kitu chenye Kuleta upinzan ( kuongeza Core Na Screen Size) ... Nahs ndomaana wanaziuza bei Ndogo il zpate user weng kwanza.... After That MAYB ndo Wataanza kutoa shiping phones zenye Os Hii! ila Bele wameionea Mno Maana haina hata mda sokon wamesha itupa
 
Jolla kesho ndo wanazindua simu yao ya kwanza ngoja tuiangalie

Nokia wameshaport qt kwenye asha na ile os iliyokufa kabla haijatoka (meltemi) na kuna rumors za device ya ram 512mb na screen 3.5, asha zina gpu sasa hv na game kama temple run zinakuja naona bright future kwa asha.

Mkuu hawatoi tu simu za belle ila suport inaendelea hadi 2016 tatizo ni kua hamna developer ataetengeneza apps kwa os iliokufa
 
hapa nmekusoma Mkuuu! ngoja kesho 2one hyo Jolla

sailfish.jpg

hi pcha imepgwa na Engadget kutoka vdeo yao walio iweka kwenye homepage yao nahs ndo itakua home ya smu za jolla then v2 n kama live Tiles vle!
 
Hizi simu si kwa ajili ya mazingira yetu ila tunalazimisha .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom