Nokia Lumia 629

Nokia Lumia 629

ethicx

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
311
Reaction score
127
Wadau nahitaji kujua hizi sim za promo kutoka airtel hv zinatumia line ya airtel tu? Au naweza kuweka lina yyte. Msaada wana jamvi.
 
n lumia 620 not 629! Sidhan hyo k2 ! Ztakua znatumia line ya airtel tuuu! Madukan zpo! Na bei yake n ya kawaida tuu... Mpaka laki 4
 
Back
Top Bottom