Nokia Lumia 625 Hero Of The Big Scean!!

Nokia Lumia 625 Hero Of The Big Scean!!

nurbert

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
1,887
Reaction score
428
Leo Katka Pitapita Zangu Mitandaon Nmekutana Habari Hyo... nokia Wame tease Kua Wanakarbia Kuzindua Nokia Lumia 625 Ambayo Itakua Na Umbo Kubwa Na Display Yake Inasemekana Itakua Ni Resolution Ya 800 x 480 pixels na density
Ya 201ppi !!! screen Itakua Inalindwa na Corning Gorilla Glass Na Pia Ni Super sensitive So Unaeza Ku Touch Hata kwa Kucha, Gloves Na Hata Kijiti!!!
gsmarena_001.jpg

gsmarena_001.jpg


Simu Hii Pia Itaku Na LTE au 4G Network na Itapewa 1.2GHz, Dual Core Snapdragon S4 Processor

pia Itakua Na Camera Yenye 5 mp autofocus, LED flash, 1080p@30fps Kwa Camera Ya Mbele na Camera Ya Mbele itakua n VGA camera!!

simu Hii Pia Itakua Katika Rangi 5 Toffauti So Kila Mtu Na Kipendeleo Chake Hakuna Ataebaguliwaaa
ice_lollies.jpg

gsmarena_002.jpg


tuzidi Kutegemea Meng Kutoka Nokia ..... nadhan Hii Itaendelea Kuleta Ushingan Kwa Simu Zenye Screen Kubwa Na Pia Wanunuzi Tutaendelea Kuchanganyikiwa Kutofautisha Smartphone Kubwa, Phablets na Tablets
 
Yap Mkuu Nadhan Wanazd Kuliteka Soko Ila Kuna Tetes Zlikuwepo Last Week Kua Nokia Wanauza Sana Ila hawamek More Profit Ndogo Hii Umeiskia??
 
Yap Mkuu Nadhan Wanazd Kuliteka Soko Ila Kuna Tetes Zlikuwepo Last Week Kua Nokia Wanauza Sana Ila hawamek More Profit Ndogo Hii Umeiskia??

blog za marekani hizo kama unakumbuka q1 2012 nokia alikula hasara 1.2 bilion usd na q2 akala around 0.8b usd so sasa hv amepata hasra 0.1b ni muelekeo kwenda mbele si mapato mabaya.

then aliokula hasara ni division ya device na ya maps (here) ila division nyengine kama za network na licence (patent) zilipata faida overall nokia group wanapata faida sasa hv.

mkuu hii trend ikiendelea mwezi wa 9 nokia anarudi nafasi ya 3 (nyuma ya samsung na apple) kwenye smnartphone. na soon atampita apple. THE KING IS BACK
 
Leteni vitu NOKIA, nokia ni chaguo langu no. 1,, NOKIA CONNECTING PEOPLE
 
blog za marekani hizo kama unakumbuka q1 2012 nokia alikula hasara 1.2 bilion usd na q2 akala around 0.8b usd so sasa hv amepata hasra 0.1b ni muelekeo kwenda mbele si mapato mabaya.

then aliokula hasara ni division ya device na ya maps (here) ila division nyengine kama za network na licence (patent) zilipata faida overall nokia group wanapata faida sasa hv.

mkuu hii trend ikiendelea mwezi wa 9 nokia anarudi nafasi ya 3 (nyuma ya samsung na apple) kwenye smnartphone. na soon atampita apple. THE KING IS BACK

Wanaendelea Vzur ila nadhan Na Hii Asha Os Inatakiwa waipe Shavu Sana.... Kampuni Kubwa Kama Nokia kutegemea Os 1 Ni risk bearing.. Matter of fact os si yakwao.......
 
Daah kipendacho roho... Nokia naikubali sana....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom