Shunula Member Joined Mar 9, 2013 Posts 72 Reaction score 15 Oct 22, 2014 #1 Wakuu heshima kwenu. Nimezichanga nataka kununua smart phone, hivyo nahitaji ushauri wa uchambuzi yakinifu ni smart phone ipi nzuri kati ya lumia 1520, lumia 930 na Lg g pro 2 ? Au waweza nipa ushauri kwa simu nyingine .
Wakuu heshima kwenu. Nimezichanga nataka kununua smart phone, hivyo nahitaji ushauri wa uchambuzi yakinifu ni smart phone ipi nzuri kati ya lumia 1520, lumia 930 na Lg g pro 2 ? Au waweza nipa ushauri kwa simu nyingine .