Mkuu ubaya wa Nokia ni operating system wanayotumia window 8 mbaya haina innovative features mfano lumia 1020 ni bonge moja la simu camera yake noumer inapiga picha kama MTU wa ukweli yaan balaa tatizo inarun window 8 nafikiri ingekuwa na android ingefanya vizuri sana Nokia imeuzwa sababu ya soko la simu zake limefifia sana dats y Microsoft kaeza inunua

actual haina apps na games labda useme hivyo ila ukisema haina innovative features ur wrong sababu zote ios na android version mpya zimekua influenced na wp. namanisha
-project butter ya jb
-ios 7 na flat ui
hapo hujazungumzia
-tiles
-kids corner
-room
-people hub
-xbox (achievement)
vyote hivyo vimeanzia wp na platform nyengine wanaiga