Mkuu mbona zipo kitambotu!Wametumia android 7, hapa tz ndo simu mpya mpya wanaanza kutumia android 6
Wameachana na os ya Microsoft au bill ameamua kufuata soko na sio soko limfuate
Nina vi nokia viwiliNi manufacturing process ikiwa ndogo ndio jinsi inavyokuwa nzuri sasa hivi kuna 7nm na inayokuja ni 5nm.
28nm ni ya kizamani kidogo haikai sana na charge.
Manufacturing process pekee si kigezo vipo vyengine kamaNina vi nokia viwili
Moja yeye specs hizo ni nokia 2.1 naona kama inakaa sana na chaji kioo kuwaka nonstop kwa kwa masaa kadhaa data on kuperuzi tu ,download nk inakula average ya 7.1% per hour ikizidi sana 8% per hour and i wonder ni 28nm
Simu yangu ya kwanza ilikuwa nokia 2100 miaka ya 2005
From there nimekuwa nikitumia tu nokia mpaka sasa tuko kwenye android ..its nokia 7.2 yenye battery yenye 4000mah sio stock maana stock haina 4000mah
..kuna ka oppo ma infinix ma xiaomi mazuri tu ma battery ya laana pia 4000 to 5000
Umejifunza virce versa
Mkuu hivi android 10 inatoka lini officially??Ni manufacturing process ikiwa ndogo ndio jinsi inavyokuwa nzuri sasa hivi kuna 7nm na inayokuja ni 5nm.
28nm ni ya kizamani kidogo haikai sana na charge.
nielimishe ndg.
Imeshatoka zamani mkuu. Ninecheki online baadhi ya watu wameshaanza kupata wenye note 7 mwezi huu, muda si mrefu na kwako itakuja.Mkuu hivi android 10 inatoka lini officially??
Natumia redmi note 7
Shukrani boss lwa maelezo.Imeshatoka zamani mkuu. Ninecheki online baadhi ya watu wameshaanza kupata wenye note 7 mwezi huu, muda si mrefu na kwako itakuja.
Simu gani hiyo mkuu?350k, inapungua lakini