Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,715
- 39,798
kama mtakumbuka wiki kadhaa zilizopita nilipost kua nokia maps zimebadilishwa jina na sasa zimeitwa here maps na nikasema zitakua cross platform kwa kuletwa kwenye device mbalimbali
leo nokia wamerelease here map kwa ios kama una iphone nenda app store ukadownload, brakelyn na i144 hope mtakua wa kwanza kudownload.
kwa wale wa android soon mtapata yenu.
Wa apple msiwory hamtapotea tena