Dena Amsi R I P Joined Aug 17, 2010 Posts 13,080 Reaction score 4,276 May 30, 2013 #1 Wataalamu naombeni msaada tafadhali kuna namba nataka kuiblock lakini nimeshindwa nina E5 na N8 zote nimeshindwa msaada tafadhali wakuu Shukrani in advance
Wataalamu naombeni msaada tafadhali kuna namba nataka kuiblock lakini nimeshindwa nina E5 na N8 zote nimeshindwa msaada tafadhali wakuu Shukrani in advance
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,279 Reaction score 44,416 May 30, 2013 #2 nenda ovi store kadownload call blocker zipo za kumwaga