Nokia c2-03

Nokia c2-03

Megawatt B

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2011
Posts
259
Reaction score
69
WanaJf, mtu yeyote aliyetumia, au kuijua NOKIA C2-03 anijuze ubora wake au ubaya wake
 
Uzuri wa simu unategemea na wewe unaitumia kwa kazi zipi, Hebu toa maelezo kidogo unapendelea kufanyia nini hiyo simu, unaweza kupata ushauri mzuri zaidi.
PICHA YAKE NDO HII

Nokia_C2-03-all.jpg
 
nzuri sema internal memory ni ndogo na isitoshe hiyo ni symbian s40 ungepata symbian s60 unge enjoy sana
 
Uzuri wa simu unategemea na wewe unaitumia kwa kazi zipi, Hebu toa maelezo kidogo unapendelea kufanyia nini hiyo simu, unaweza kupata ushauri mzuri zaidi.
PICHA YAKE NDO HII[/COLOR][/B]
Nokia_C2-03-all.jpg

Swali zuri Ninger, nahitaji kuperuzi internet na kuhifadhi music
 
Back
Top Bottom