Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,489
Nisaidieni mimi yakwangu nimeshindwa kudownload WhatsApp kwenye Nokia Asha 501. Msaada p/se!
Mpaka ufanye software update kwanza ndo utaweza kudownload whatsapp.
Nenda setting halafu software update angalia update utadownload utainstall hii ni over the air update (ota) hivyo hutahitaji computer wala cable.
Ila kuna kitu kimoja muhimu. Asha 501 haina 3g na update kama hizi zinakua kubwa kidogo ni vizuri utumie wifi ili kudownload upesi upesi. Kama hauna wifi unaweza endelea kibishi ku update na edge.
Ukisha update whatsapp itakuja, isipokuja nenda store utaiona
Mkuu Chief hii ASHA 503 na bei yake pale Kariakoo ni 230,000, ila kuna baadhi ya vitu havijakaa sawa, ina ram 64mb hii imekaaje mkuu? Nilishawishika kuinunua lakini ram 64 imenifanya nisite.
kaka bei ya 230 wait kama mwezi itashuka hadi 160 sababu ndio zinaingia tanzania hizo simu.
kuhusu ram haina tatizo kwa kazi iliotengenezewa inafanya vizuri tu.
Vipi kasi yake kwenye net, vipi kuhusu battery yake ya 1200 mAh.
kaka bei ya 230 wait kama mwezi itashuka hadi 160 sababu ndio zinaingia tanzania hizo simu.
kuhusu ram haina tatizo kwa kazi iliotengenezewa inafanya vizuri tu.
Kwenye issues za kununua smartphones mpya, Bongo kuna boa sana. Yaani bora nasikia Kenya. Leo tumezunguka sana Kariakoo, Nokia Asha 501 wamekaza kuanzia 180,000Tsh tukachukua kwa 175,000Tsh hafu Lumia 520 wameanzia 320,000Tsh bei ya mwisho 310,000Tsh (Bei halali ya Nokia ni Tsh 255,000 approx 150USD).
Hivi ukitaka kununua iPhone 5s au Galaxy S4, dukani mpya si itakua balaa sasa? Kununua bidhaa za mitumba hatuta acha kama ndio hivi.
Swala la Nokia, Midcom Tanzania wawe makini sana hapa.
Tena hizi Lumia na Asha, ata sikushauri ununue used, maana....!!!
lumia 620 sasa hv ni 150 usd na 520 ni 130 usd nokia anauza hivyo. sasa simu ya 130usd kuuzwa laki 3 na 20 tena na wakala official inaskitisha. hata wakieka hio vat still ilikua haifiki 250usd.
Midcom Kenya wanauza Ksh. 15,500 so hii kibongobongo ni kama 310,000/= kwa rate ya 20 Tsh kwa 1 Ksh.
kaka bei ya 230 wait kama mwezi itashuka hadi 160 sababu ndio zinaingia tanzania hizo simu.
kuhusu ram haina tatizo kwa kazi iliotengenezewa inafanya vizuri tu.
Kwenye issues za
kununua smartphones mpya, Bongo kuna boa sana. Yaani bora nasikia Kenya.
Leo tumezunguka sana Kariakoo, Nokia Asha 501 wamekaza kuanzia
180,000Tsh tukachukua kwa 175,000Tsh hafu Lumia 520 wameanzia
320,000Tsh bei ya mwisho 310,000Tsh (Bei halali ya Nokia ni Tsh 255,000
approx 150USD).
Hivi ukitaka kununua iPhone 5s au Galaxy S4, dukani mpya si itakua balaa
sasa? Kununua bidhaa za mitumba hatuta acha kama ndio hivi.
Swala la Nokia, Midcom Tanzania wawe makini sana hapa.
Tena hizi Lumia na Asha, ata sikushauri ununue used,
maana....!!!

kaka rate ni 18.5 hivyo inakuja 287,000
Wauza simu wa Tanzania
wanawakomoa wanunuzi hata wale Official Agents wanauza simu bei za ajabu
ajabu. Mbona jirani zetu Kenya bei zao ziko chini?
Wadau labda niweke maujanja na ninavyofanyaga kupata hizi simu za NOKIA kabala ya wengine Bongo(hazija fika madukani)
Kuna hii website ya kenya Midcom MiDCOM Store wao huko kwao wanuza hizi simu online na wanamaduka na nimeona humo watu wanaweza kununu hata kwa MPESA na wanakuletea mzigo wako mpaka Nyumbani/Ofisini.
Pia wanabei za Jumla nilishawahi kuulizia n ajumla ni kuanzia Handset 10, kama sikosei wnatoa punguzo la kama 10% kwa bei ya rejareja.
Kwa kawaida hawa jamaa huwa wanauza simu mapema sana, yani NOKIA wakitoa tu mpya wao haichukui hata siku chache ni lazima itakuwa Kenya na mpaka ifike Bongo Experiance yangu inaonyesha ni Miezi 3.
Cha kusikitisha ni kuwa hata Bongo tunayo hi kampuni ya Midcom mara ya mwisho ofisi zao zilikuwa pale kwenye Mataa Oysterbay polisi sijuhi sikuhizi wamefia wapi, ila hakika kama wangafanya Biashara kama hawa wakenya maisha yangekuwa raisi sana.
Bei ya hiyo NOKIA 503 kwa kenya ni 15,500 Ksh. nadhani kwa bongo ni kama 200,000/=
CC: chief-mkwawa , Secret Service , mgunda1990
jaman ndomaana huku
napapendaga sana,na nnashukuru Kahela kameongezeka,ni laki 3 kamili
nataka nijiumize kidogo,hapo nimeona kuna LUMIA 520 na 620,nipen ufahamu
zaidi wakuu na hyo bei nilonayo kama itatosha,maana 2kijaaliwa uzima
mwisho wa mwez huu..NAWASHKURU SANA KWA KUTOA ELIMU
NZURI,.Respect!!