mgunda1990
Member
- Jul 19, 2012
- 73
- 4
chief-mkwawa umetoa maelezo manono sana. Kwa wanaotaka kununua simu za Nokia, either Asha au Lumia mpya dukani, unawashauri wanunue wapi?
PS: Kama utapata muda kidogo, naomba ufanye "kazi ya kanisa" kwa kutuwekea bei za Lumia na Asha za bei ndogo ila zenye kukidhi mahitaji ya kawaida (Browse internet na Apps za kawaida eg: opera, whatsapp, fb) kama smartphone nyingi. Ikiwezekana na mahala pa kununua.
thax chief,pia nimeona Lumia 520,cjui na yenyewe unasemaje?
Kaka mimi huwa nachukua kwanza bei za nokia wenyewe wanazotoa halafu nakomaa na wale wauza jumla.
Mfano asha 501 wakati inatoka mwaka jana ilikua inauzwa dola 99 na nokia ila asha 503 imetoka kwa dolla hizo 99 hivyo 501 imeshuka. Hivyo bei ya asha hizi mpya ni kama laki 1 hadi laki na nusu.
Kuzipata nenda aggrey na msimbazi achana na maduka ambayo yapo barabarani wengi wanauza rejareja nenda maduka ambayo yapo kwa ndani kwenye coridor kule ndo wanauza kwa jumla na wale wa nje hununua humo humo ndani.
Kulijua duka la jumla la nokia linakua na rangi zq nokia halafu halipangwi simu nyingi nje unaweza kuta simu nne tu kwenye show yao hapo ndo unasema wanakutolea ndani.
Mkuu yenye camera ya mbele na flsh naweza pata ipi iwe Nokia hata kwa laki 2 na nusu!!nisaidie mkuu!Kaka lumia 520 haina flash wala camera ya mbele ila ni simu nzuri. Kama hivyo vitu viwili havina shida kwako unaweza nunua na bei ni 250 kushuka.
Kaka labda 620 used. Amazon wanauza lumia 620 kwa dola 149 mpya ila naona watu wengi hawafungash huko.Mkuu yenye camera ya mbele na flsh naweza pata ipi iwe Nokia hata kwa laki 2 na nusu!!nisaidie mkuu!
Sifahamu bei yake ila touch yake nina uhakika ni mbaya. Ila ina button unaweza tumia kila kitu kwa button.Hivi mkuu chief-mkwawa Hizi Nokia Asha 300 kwa Dar zinauzwaje? Je zina ubora mzuri (battery & touchscreen)
Ambroce_JuniorHivi mkuu chief-mkwawa Hizi Nokia Asha 300 kwa Dar zinauzwaje? Je zina ubora mzuri (battery & touchscreen)
Nisaidieni mimi yakwangu nimeshindwa kudownload WhatsApp kwenye Nokia Asha 501. Msaada p/se!