Nakupa kidogo mkuu:
-Network ni 2G only na speed ni 86kbps (GPRS) na 236kbps (EDGE).
-huwezi kupata software kama whatsapp, viber etc. labda kwa ujanja wa ku-copy whatsapp ktk memorycard.
-Iko fasta na smooth sana katika mambo ya msg, pia inatunza sana charge, no lags za ajabu ajabu... Bei nzuri.
Usidanganyike na Tecno.