Nokia asha 200

Nokia asha 200

.
unafanya some tricks sio official na rahisi kati ya hizo trick ni kueka memory card yako kwenye simu ya asha inayosuport whatsap kisha kuimove ile whatsapp kwenye memory card halafu kuchukua ile memory card na kuieka kwenye simu yako tena

Ipo trick nyingne haitaji process ndefu, Ata mtu yeyote anaweza, aka install,
Narudia TENA ni very easy

Hata huitaji simu mbili wala kutoa msd card
 
Back
Top Bottom