Nokia asha 200

Nokia asha 200

mzaziaged

Senior Member
Joined
Oct 16, 2013
Posts
198
Reaction score
29
Nime restore nokia asha 200 haikubaki tena kufungua browser pia nikienda ovi mail inafel na pia whatsap haionekani kwenye kudownload naombeni msaada nifanyaje wakuu
 
hzo weakness niliziona, kwenye Nokia X-pless music,
kumbe mpaka Nokia Asha,
.
Hapo kama browser haifunguk ndo bas tena,
Pole sana weakness of Nokians,
.
Labda kama mungu atakuona nawe pia
 
Nime restore nokia asha
200 haikubaki tena kufungua browser pia nikienda ovi mail inafel na pia
whatsap haionekani kwenye kudownload naombeni msaada nifanyaje
wakuu

fanya configuration upya mkuu hasa kwa line one ikikubali jaribu kudownload browser zingine kama Uc browser au opera mini kwa line 2 hii itakusaidia pindi browser ya Nokia ikikataa unatumia hizo
Ila kwa whatsup sidhani kama inakubali hiyo simu ni ndogo.
 
nokia asha 200 inakubali whatsapp...
 
Nime restore nokia asha 200 haikubaki tena kufungua browser pia nikienda ovi mail inafel na pia whatsap haionekani kwenye kudownload naombeni msaada nifanyaje wakuu
ndo tatizo la nokia za kisasa. nakumbuka kipindi cha nokia za symbian, matatzo madogomadogo yalikuwa kidogo. anyway jaribu kuiupdate.
 
Ila kwa ninavyofaham whatsapp haikubali kwenye nokia asha 200 labda 201
 
hapo swala la kutokufungua browser solution lazima ufanye Refurbish(repair firmware) au flash kabisa

Nime restore nokia asha 200 haikubaki tena kufungua browser pia nikienda ovi mail inafel na pia whatsap haionekani kwenye kudownload naombeni msaada nifanyaje wakuu
 
Usipend kubdlsh line hum comfiguratn znbdlk kama vp angalia mtu mweny nokid asha n anatumia lyn kama yko afu angalizia settn
 
sio kweli binafsi nilijaribu ikanilkatalia na inanipa orodha ya Asha zinazosupport whatsup Asha 200 ikiwa haipo
unafanya some tricks sio official na rahisi kati ya hizo trick ni kueka memory card yako kwenye simu ya asha inayosuport whatsap kisha kuimove ile whatsapp kwenye memory card halafu kuchukua ile memory card na kuieka kwenye simu yako tena
 
Mkiambiwa Tecno ni kiboko yao nyie mnabishi. Mnanunua majina! Poleni.
 
sio kweli binafsi nilijaribu ikanilkatalia na inanipa orodha ya Asha zinazosupport whatsup Asha 200 ikiwa haipo

Usiseme sio kwely wakat huna uhakika,
mpaka sasa Asha 200 ya 4 kuingza whatsapp we ulza usaidiwe k
 
Back
Top Bottom