Nokia Asha 200 haioneshi picha wala kucheza video

Nokia Asha 200 haioneshi picha wala kucheza video

Makobus

Senior Member
Joined
Jul 30, 2012
Posts
172
Reaction score
123
Naomba kusaidiwa nifanye nini na simu yangu maana nimestukia imegoma tu kuonesha picha na video.
 
hizi simu sijui zinamatatizo gani mkuu, hii yangu imefutika ile manu ya nokia store, social network na mafile yote yanayopatikana kwenye my apps! Sijui hata cha kufanya!!
 
Nadhani hizi simu zina tatizo hilo zingine ukipiga picha inaganda mpk uizime uwashe upya vinginevyo itabaki hivyohivyo.
 
Back
Top Bottom