mkuu simu kama 808 zipo chache sana nokia hajazisuply sana ni special kwa photographer sidhani kama imefkia stage ya kuuzwa mitaan kihivo.
Same kwenye iphone sku hizi kuna clone za kichina ni balaa kila kitu (appearence na user interface) kipo kama iphone original so unatakiwa uwe na kauwezo kidogo ka kuzitambua.
Vizuri kama una mpango wa kununua kumchukua mtu mwenye uelewa nazo.
chief-mkwawa!hivi nipe shule kidogo simu yenyewe wife maana yake ni nini!!
hizo iPhone imitation ni balaa, hata mi na utaalamu wangu wote siwezi kuzitambulisha apart kwa outside appearance. wachina bana..mkuu simu kama 808 zipo chache sana nokia hajazisuply sana ni special kwa photographer sidhani kama imefkia stage ya kuuzwa mitaan kihivo. Same kwenye iphone sku hizi kuna clone za kichina ni balaa kila kitu (appearence na user interface) kipo kama iphone original so unatakiwa uwe na kauwezo kidogo ka kuzitambua. Vizuri kama una mpango wa kununua kumchukua mtu mwenye uelewa nazo.
ok,ahsante!!mi nikajua inakuwa free kwa kila mtu!!mkuu nafkiri kama ulimaanisha wifi (inatamkwa why fy)
hii ni technolojia inayoruhusu vifaa vya electronic kubadilishana data bila kutumia waya. Inakua kama vile network ya simu ya tigo au voda sema hii inakua ni masafa mafupi haifiki mbali.
Mfano unaweza ukakuta chuo wakafunga wifi kwa ajili ya wanafunzi tu basi unakuta network yao inakua pale pale chuoni watu nje hawaipati.
ok,ahsante!!mi nikajua inakuwa free kwa kila mtu!!
hizo simu feki,tena nawaonaga pale posta kwenye benki moja hivi(jina nimelisahau) wana simu aina mbili tu na zote feki