ikhatibu JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 2,495 Reaction score 2,484 May 26, 2016 #21 Innocizy said: Naomba nitumie picha za hio simu pm mkuu. Nione imechakaa how much nitathmini gharama za repair. Nahitaji sana simu za Nokia. Hapa nilipo nina Nokia X2:02 toka 2010 Huwa nabadilisha tu housing. Click to expand... Tayari nimeshatuma.
Innocizy said: Naomba nitumie picha za hio simu pm mkuu. Nione imechakaa how much nitathmini gharama za repair. Nahitaji sana simu za Nokia. Hapa nilipo nina Nokia X2:02 toka 2010 Huwa nabadilisha tu housing. Click to expand... Tayari nimeshatuma.
Gwakukahja JF-Expert Member Joined Sep 26, 2015 Posts 1,120 Reaction score 740 May 28, 2016 #22 Simbamteme said: duuuu... kasimu kangu ka kwanza kbsa kukanunua na hela ya BOOM... umenikumbusha mbali... Click to expand... Hahaaa [emoji3][emoji3][emoji3] hata mm asee ikafatia c5
Simbamteme said: duuuu... kasimu kangu ka kwanza kbsa kukanunua na hela ya BOOM... umenikumbusha mbali... Click to expand... Hahaaa [emoji3][emoji3][emoji3] hata mm asee ikafatia c5