Aisee, yes a fault acknowledged. It should be among the best selling phone. Nokia 1100 na Nokia 1110Hii ndo simu iliyouzwa zaidi?? What about nokia 110 ?na iPhone 6 ,,, Leta source mkuu
Kulikuwa na game ya space impact. Niliipenda sana hiyo game kuchezaGame la nyoka.
Ila simu iliyouza zaidi ni nokia kitoch
hiyo ndiyo nokia niliyo anza kujifunzia kuflash simu kaugonjwa kake ka contactservice niki tumia dejan dongle ilikuwa mwaka 2003mkuu weka na picha tuikumbuke uzuri wengine hizo namba hatuzijui
Wewe ndo umelala uliza simu gani imeweka historia ya mauzo duniani kwa wakati wote. Nyie ndo mlisomea ujingaKulikuwa na game ya space impact. Niliipenda sana hiyo game kucheza
Mwenzako Anaongelea Duniani Wewe Mawazo Bado Yamelala Bongo, 😀 Hatari Kweli Kweli