mkuu weka na picha tuikumbuke uzuri wengine hizo namba hatuzijuiHii ndio simu iliyouzwa kwa mwingi duniani kuliko simu yoyote.
Simu ya Nokia 3310 iliingia sokoni miaka 17 iliyopita na ikaachwa kutengenezwa tena. Inakadiriwa kuwa simu 126 million ziliuzwa mpaka simu hizo zilipokoma kutengenezwa.
Sifa kuu za simu hizi ilikuwa ni uimara, kukaa na chaji muda mrefu na nyinginezo.
Simu hii inarudi tena sokoni ikiwa imeongezewa vionjo vya soko la kisasa na unafuu wa bei.
Je, unaweza kuitumia tena simu hii au ni vyema kuisahau kabisa?
Inakukumbusha nini?
Nimeweka Mkuumkuu weka na picha tuikumbuke uzuri wengine hizo namba hatuzijui
mpaka leoView attachment 470752 Hii ndio simu iliyouzwa kwa mwingi duniani kuliko simu yoyote.
Simu ya Nokia 3310 iliingia sokoni miaka 17 iliyopita na ikaachwa kutengenezwa tena. Inakadiriwa kuwa simu 126 million ziliuzwa mpaka simu hizo zilipokoma kutengenezwa.
Sifa kuu za simu hizi ilikuwa ni uimara, kukaa na chaji muda mrefu na nyinginezo.
Simu hii inarudi tena sokoni ikiwa imeongezewa vionjo vya soko la kisasa na unafuu wa bei.
Je, unaweza kuitumia tena simu hii au ni vyema kuisahau kabisa?
Inakukumbusha nini?
Waambie kabisa wanipitishie hapa nyumbani simu mbili (ya kwangu na ya mama serekale)Nimeweka Mkuu
Simu hii inarudi tena sokoni ikiwa imeongezewa vionjo vya soko la kisasa na unafuu wa bei.
View attachment 470752 Hii ndio simu iliyouzwa kwa mwingi duniani kuliko simu yoyote.