Kuna mambo mawili kuweza kudownload na kuweza kufungua file lenyewe, mimi nitazungumzia uwezo wa simu yako soma file la pdf
Mkuu hiyo simu yako uwezo wake ni mdogo sana haina built in application yakuweza kuread pdf file
Unaweza kujaribu kugoogle kama unaweza kubahatisha java application za kusoma pdf kwa simu yako
Kitambo hicho nili wahi kuwa na Nokia 2600 classic ambayo haitofautiana sana na hii kwakeli ni majanga hakuna application ya maana unaweza pata maana simu yenyewe mkuu imekuwa ya kitambo na uwezo mdogo