Nokia 1 haijapata android 9 (Pie) mpaka sasa

Nokia 1 haijapata android 9 (Pie) mpaka sasa

Brother mkwawa mi natumia samsung j7 pro niliinunua ikiwa ipo rooted sasa naondoa root ila mpk sasa inanigomea

Nimetumia kingroot na supersu ila bado

Naomba msaada wako
Ili utoe root kisahihi inabidi ujue wamei root vipi kwanza. Simu nyengine unakuta rom nzima iliokuwa flashed Ni pre rooted.
 
inategemea na model ya simu yako. Kama ni mpya hizi zilizotoka na Android 8 unaweza kupata ingawa kwa zilizokuja na android 9 ndio itakuwa uhakika zaidi kwa sababu hawa jamaa wakishakupa major update moja ndio basi tena hadi simu ife, ila mfumo wa simu za tecno,itel,infinix mara nyingi unadownload manually kwenye sd card halafu unainstall manually.

kama ulikuwa android 8 ukapata 9 basi si rahisi kupata 10.
Vp sie wenye tecno twaweza pata OS update kwl??
 
Back
Top Bottom