Nokia 1 haijapata android 9 (Pie) mpaka sasa

Plan Radeem King

Senior Member
Joined
Mar 25, 2018
Posts
198
Reaction score
127
Wakuu kama headline inavyosema nina NOKIA 1 go edition mpaka sasa imeshia ANDROID 8.1

Shida itakuwa ni nini?

Nawakilisha
 
Mkuu kwa mfano tu nataka kujua kitu niko android pie na ninaimani nitapata update inayofuata sasa basi kwa kua ni xiaomi ndio kifaa nitumiacho je nitakua napata update kupitia hapa ninapopita hizi updates za miu au ndio nitaweza kuitizama na kupitia android vesion ?ngoja niweke picha unifafanulie
Jaribu hii trick mkuu

Kama una pie mkuu upo latest, Android 10 ndio imetoka so itachukua muda kidogo mpaka makampuni ya simu yaanze kuwatumia watumiaji wao.
 
Mkuu kwa mfano tu nataka kujua kitu niko android pie na ninaimani nitapata update inayofuata sasa basi kwa kua ni xiaomi ndio kifaa nitumiacho je nitakua napata update kupitia hapa ninapopita hizi updates za miu au ndio nitaweza kuitizama na kupitia android vesion ?ngoja niweke picha unifafanulie
Hii
Screenshot_2019-09-08-14-23-52-570_com.android.settings.jpeg
 
Mkuu nina Nokia 6.1 natumia android 9,hiyo android pie ndo ikoje na je,hii 9 na hiyo pie ipi ipo smart maana sifahamu nipe shule
Android 9 na pie Ni hio hio mkuu, Ina majina mawili tofauti.
 
Brother mkwawa mi natumia samsung j7 pro niliinunua ikiwa ipo rooted sasa naondoa root ila mpk sasa inanigomea

Nimetumia kingroot na supersu ila bado

Naomba msaada wako
 
Back
Top Bottom