Mshawa JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 787 Reaction score 325 Oct 5, 2011 #21 Mamndenyi said: ni kazi yake inayomfanya aishi lazima afanye hivyo. Click to expand... Ni sawa na kusifia matairi ya gari yanavyo~zunguka wakati ndo kazi yake. Ametumwa nn?.
Mamndenyi said: ni kazi yake inayomfanya aishi lazima afanye hivyo. Click to expand... Ni sawa na kusifia matairi ya gari yanavyo~zunguka wakati ndo kazi yake. Ametumwa nn?.
Remmy JF-Expert Member Joined Jun 9, 2009 Posts 4,701 Reaction score 1,810 Oct 5, 2011 #22 Nami namkubali sana! pongezi zake sana!
Tusker Bariiiidi JF-Expert Member Joined Jul 3, 2007 Posts 5,554 Reaction score 2,160 Oct 5, 2011 #23 Ndo nani mpaka afunguliwe THREAD...
kanywaino Senior Member Joined Sep 10, 2010 Posts 171 Reaction score 19 Oct 6, 2011 #24 Gwaks makono said: Jaman wanajf huyu mwandish wa tbc ni nouma anatangaza vizuri sana na anastahil pongez karipot vzur sana uchaguz mdogo wa igunga! Click to expand... angoje kuchakachuliwa huyooo
Gwaks makono said: Jaman wanajf huyu mwandish wa tbc ni nouma anatangaza vizuri sana na anastahil pongez karipot vzur sana uchaguz mdogo wa igunga! Click to expand... angoje kuchakachuliwa huyooo
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,628 Oct 6, 2011 #25 si kazi yake ni wajbu wake afanye vizuri sioni cha ajabu hapo,
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,281 Oct 6, 2011 #26 Binafsi simnpendi narine hassani kupita kiasi maana jamaa ni bonge la ganba................tutawashughulikia tukichukua nchi kwani kuna watu wengi sana wanakwamisha demokrasia wakiwemo kibonde na clouds.........nasema tutawashughulikia
Binafsi simnpendi narine hassani kupita kiasi maana jamaa ni bonge la ganba................tutawashughulikia tukichukua nchi kwani kuna watu wengi sana wanakwamisha demokrasia wakiwemo kibonde na clouds.........nasema tutawashughulikia
Mpitagwa JF-Expert Member Joined Feb 10, 2012 Posts 2,338 Reaction score 1,127 Oct 30, 2016 #27 Jaffer Haniu kaula. Ni mkurugenzi msaidizi wa habari Ikulu. Nyie endeleeni kuchonga
Wa kusoma JF-Expert Member Joined Jul 30, 2011 Posts 3,454 Reaction score 2,984 Sep 12, 2017 #28 Hivi huyu mtangazaji yupo wapi siku hizi na nini kilichomtoa TBC? Sent using Jamii Forums mobile app
babumapunda JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 4,644 Reaction score 3,328 Sep 13, 2017 #29 Wa kusoma said: Hivi huyu mtangazaji yupo wapi siku hizi na nini kilichomtoa TBC? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... yupo bbc nadhani anaandaa makala maalumu
Wa kusoma said: Hivi huyu mtangazaji yupo wapi siku hizi na nini kilichomtoa TBC? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... yupo bbc nadhani anaandaa makala maalumu