Maana yangu ni kuwa itapendeza na waafrika tukionekana kwenye Science kubwa kama hizo. Ndio maana kukawa na African initiative to promote science of discovery kwa kuanzisha Nelson Mandela African Institute of Science and Technology (NM-AIST) and its sisters across Africa.Unaposema hakuna Mweusi una Maana gani/ipi?.Mbona hapo katika listi yako hakuna Mweupe?.Sisi sote tu binadamu,Sidhani kama Masuala ya rangi yana Mantiki kivile kwa karne hii.
Big up sana kwao hao binadamu wenzetu (Not about their colour),They make a World great again.We also needed to do the same like what they did above.
Asa mwafrika umefanya nn ili upewe noble prize?????Nobel PrizeWinners (2016): Hakuna mweusi!
Bob Dylan
Literature
View attachment 448026
Duncan Haldane
Physics
View attachment 448028
J. Michael Kosterlitz
Physics
View attachment 448029
David J. Thouless
Physics
View attachment 448030
Juan Manuel Santos
Peace Prize
View attachment 448031
Fraser Stoddart
Chemistry
View attachment 448032
Jean-Pierre Sauvage
Chemistry
View attachment 448027
Ben Feringa
Chemistry
View attachment 448033
Yoshinori Ohsumi
Physiology or Medicine
View attachment 448034
Bengt Holmström
Economic Sciences
View attachment 448035
Oliver Hart
Economic Sciences
View attachment 448036
Tufanye sasa sioAsa mwafrika umefanya nn ili upewe noble prize?????
Sio kupeana, hata computer unayoitumia kuna watu wamepata Nobel prize of computing. Kuna tangible results!Wameandaa wao wamepeana wao
kama eatvawards
Hahahaha sasa tufanye nn????????Tufanye sasa sio
WHO IS THAT? OK nimempata! Huko hakutusaidii lolote in Education/Science na sio "humo"Hahahaha sasa tufanye nn????????
Ila tunaweza tukiwa na environmental background nzuri...... Mbona lupita nyongo kaweza kawa nominated humo