Ukiona hivyo anataka uteuziMapambio yameisha mnakuja na mapya. Kesho hamkawii kumuita "mungu".
Kuna watu miaka 60 ya Uhuru hawana maji, umeme wala zahanati kwao na kodi wanalipa kama wengine.Hujui usemalo.
Very soon tutakuwa ni taifa la walarushwa wakubwa.
Samia hana sauti amewekwa na wazee wa mujini...itunze hiii post.
Huo utumbo ndiyo kutumikia taifaKaka unaweza kulitumikia taifa lako bila kupata uteuzi wa Rais. Fanyakazi kwa bidii popote ulipo hata kwa kuandika jf.
Jifunze kuwa na AdabuLabda nobel prize ya buza kwa mpalange
Unafikiri Nobel prize inagawiwa kijinga tu kama tuzo za Basata au siyoRais Mama Samia akiendelea hivihivi na juhudi za kujali hali za wananchi wa kawaida na kukuza demokrasia nchini lazima atapata mojawapo ya zawadi za amani za Nobel au Mo Ibrahim, Inshallah.
Watu wanasema ukimsifu sana mgema anaweza kulitia maji tembo, lakini kwa mama Samia mimi ni miongoni mwa watu wa kawaida kabisa kwenye jamii wanaoiona nia yake njema kwa wananchi na tanzania.
Kama sisi tutashindwa kumuona na kuona anachokifanya huenda watu wa mataifa mengine wakamuona na kumpa kumpongeza.
Namuombea kwa Mungu asilitie tembo maji nchi ielekee kule waliko watu wastaarabu.
Aifikishe Tanzania mahali ambapo watanzania wanaweza kuongozwa na chama chochote kile, kukiondoa na kukirudisha tena madarakani bila tatizo wala shida yoyote.
Yaani aondoe janjajanja za kisiana ambazo huko mbele ya safari italiletea shida kubwa taifa.
Ahakikishe kuwa hakuna hata tone moja la maji ya mito, mvua na maziwa yanakwenda baharini kabla watanzania wote kupatiwa maji safi.
Lazima zawadi ya Nobel itakuja Tanzania, inshallah.
mimi namuombea uzima , afya njema na ulinzi imara ili azidi kutuletea neema.Rais Mama Samia akiendelea hivihivi na juhudi za kujali hali za wananchi wa kawaida na kukuza demokrasia nchini lazima atapata mojawapo ya zawadi za amani za Nobel au Mo Ibrahim, Inshallah.