NOAH yaua abiria wote!

Mkuu ndo nimepita mda huu naelekea Mwanza,dah yani haifai hata kuwa chuma chakavu imekuwa nyang'anyang'a! Hamu ya safari imekufaa kabisa yani, nashindwa kudrive. Dah mbaya sana ngoja nipumzike kidogo nitafune mahindi ya uchemsha kwanza.
Pole sana mkuu, umeona maiti walivyochapatika? Sijui Moro ina nini? Mara wakulima na wafugaji, mara ajali, dah! Mungu atufumbue macho.


Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Poleni wafiwa. NOAH sio gari ya abiria kibiashara period. Tunalazimisha mno vitu.
 
Pole sana kwa wafiwa wote, ukicchukulia ni mwisho wa mwaka.
 
Hili mbaya jamani! Poleni wafiwa jamani.
Na mwenyenzi MUNGU awape pumziko wa milele shambani mwake Bwana wetu!
 
Pole sana mkuu, umeona maiti walivyochapatika? Sijui Moro ina nini? Mara wakulima na wafugaji, mara ajali, dah! Mungu atufumbue macho.


Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Moro haona tatizo,sie watumizi wa brabara ndio matatizo. Mfano hapo Wami dakawa,barabara imenyooka tena tambarale unaweza kuona hadi umbali wa km3, wenda dereva aliamua kunyoosha mguu ghafla maybe akawaona wale jamaa wa mavazi meupe akapaniki akajibamiza uvunguni mwa lori
 

na ikibd mkuu tuwekee picha
 
Pole kwa wafiwa!!!!!!

Msipande hizo kitu wandugu,sio salama hata dakika moja ila ni ubishi tu wa watu hapo Dom-Moro zipo basi nyingi sana,sijui huwa wanashawishika nini kupanda hizo NOAH!!!!!!

Kwa anayesafiri hiyo njia atakuwa shahidi hapa,zinaendeshwa na watoto ambao ukiwaangali tu unaona shida dhahiri kabisa,mwendo wa kasi ajabu kuwahi vichwa!!!!!

Mtailaumu serikali na haitosaidia kitu,tubadilike na tuwe na machaguo sahihi kwa maisha yetu!!!
 
Jamani sheria ichukue mkondo wake ili kukomesha hali hii na kuondoa wingu hili la malumbano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…