Kinachokera dreva anaweka buku 2 za trafiki na hakuna issue ya level sit. Yaani mkijaa hadi kwenye tank la mafuta trafiki akishapewa buku 2 yake wakat mwingine jero atawaacha mkafie mbali na dreva wenu! We maiti zinatolewa then watu wanashangaa, hivi wote walikuwa in this Noah only?Aiseee n hatari..ht kusini ni hivyo hivyo...nilsema sitorudi tena kule...ndani ya noah mpk kwa buti abiria...mizigo...kibaoo...na zinakimbia balaa
Mkuu hiyo kitu Dom to Moro! Mi pia nimewahi kutumia usafiri huu. Sumu sasa ukemee hii tabia ya kujaza watu kama gunia la mkaa, abiria watatamani kukutafuna!Daah! too sad, ilikuwa inatokea dumila au morogoro, maana nshawahi kupanda hizo noah,zinakuwa kiatu sana! RIP marehemu wote.
samahani mkuu dakawa ni wapi? poleni wafiwa wote...
samahani mkuu dakawa ni wapi? poleni wafiwa wote...
Dakawa iko karibu na airport dar es salaam ....kabla ya njia panda ya jet lumo
Yaani imetoka Dodoma? Aiyaaa...Pole natoa. Lakini ngoja kwanza mkuu hivi ingekuwa level seat pengine wangenusurika au chanzo ni uzembe wa dereva wa Noah???????????Mkuu ilikuwa inatokea Dodoma to Morogoro jamaa akaivaa gari ya mizigo. Hizi Noah majanga bandugu, hakuna level sit. Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
samahani mkuu dakawa ni wapi? Poleni wafiwa wote...
Mkuu ilikuwa inatokea Dodoma to Morogoro jamaa akaivaa gari ya mizigo. Hizi Noah majanga bandugu, hakuna level sit.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Mkuu naongelea namna Noah zinavyojaza. Ajali huwa mbaya zaidi inapoua watu wengi. Mungu atusaidie!Yaani imetoka Dodoma? Aiyaaa...Pole natoa. Lakini ngoja kwanza mkuu hivi ingekuwa level seat pengine wangenusurika au chanzo ni uzembe wa dereva wa Noah???????????
Mkuu magari mengi ni ya wakubwa hao hao ndo maana wanayatetea! Si unaona hata wabunge wanajenga nyumba zao na kukodishia halmashauri kama ofisi?lazima watetee!Ndiyo matokeo ya kuruhusu mambo kisiasa! Wataalamu walishasema haya si magari mahsusi kusafirisha abiria, lakini "Serikali Sikivu" ikawaona wapuuzi! Ikaenda bungeni na kubariki hatari hii. Wananchi nasi tunashangilia tukipangwa kama maboga. Ajali ikishatokea ndipo utasikia vilio na kusaga meno, lakini wakati haijapinduka ukithubutu kumtaka dereva apunguze kasi, utashambuliwa mithili ya mwizi. Vifo vya aina hii si mapenzi ya Mungu, bali ni mapenzi ya wanasiasa wetu waliowapiku wataalamu!