tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
Mbona tako hamna
Bei ml 9 tu 😛
mkuu, engine haijashushwa? haijapikwa rangi hio? maanake naona imevimba kama imepigwa puti hivi....
Usimuone nyani kariakoo.....View attachment 281852
.....ukadhani kaja pekeyakeView attachment 281855
Kupiga picha siku hizi ni hatari sana...hebu fikiria ikiwa hakuwa na intention picha yake isambae hivi. .atakuwa ansjickiaje!
Halafu siku alipata mchumba sijui itakuwaje
Noma sana, mm nipo makini sana na picha zangu, unless mtu anipige kwa bahati mbaya nisijue....siku hizi watu hawachelewi kusambaza mitandaoni picha yako ww ni jambazi...kisa labda mna ugomvi binafsi tu au mnadaiana!