Noah kali inauzwa

Noah kali inauzwa

dudupori

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
1,795
Reaction score
1,923
Bei ml 9 tu 😛
 

Attachments

  • 1440772819329.jpg
    1440772819329.jpg
    102 KB · Views: 1,275
Biashara matangazo. Hayo mabaka ya mikononi dah! Body tu imepakwa rangi,engine ya zamani.
 
Dah, hii shida kiukweli, kwani nimefungua haraka, ila nilichoona sikutarajia, sasa sijui hiyo noah ni hiyo kwa mbali inayoonekana au ni huyo kiumbe aliyejibinua km anachamb...
 
Dah, hii shida kiukweli, kwani nimefungua haraka, ila nilichoona sikutarajia, sasa sijui hiyo noah ni hiyo kwa mbali inayoonekana au ni huyo kiumbe aliyejibinua km anachamb...

Mkuu tatizo macho umekimbizia kwingine, we thaminisha ndinga lile...
 
Duh! Badala ya kuangalia noah nmejikuta nakazia macho kwa kiumbe huyo mwanzo
 
Mkuu humo mwenye buti umefungia nini??? Mbona kama vitikiti vichanga hivi vinaning'inia...
 
yes!! Haya ndio mambo tunayo yataka sio mnaleta mapicha yenu ya siasa.. yamenifanya mpka nikapigwa ban.
ccm mwisho chooni.
 
Biashara matangazo. Hayo mabaka ya mikononi dah! Body tu imepakwa rangi,engine ya zamani.

Halafu engine za zamani kwa kuvujisha oil balaa. Mara fundi akuambie inavuja kwenye oil seal ya nyuma mara ya mbele, yaani ni sheeeda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom