Noah inahitajika

Noah inahitajika

mukiza2014

Member
Joined
Nov 7, 2014
Posts
34
Reaction score
1
Noah ya biashara inahitajika hapa hapa Dar es salaam mwenye nayo anisaidie kuniajiri niwe namletea hesabu kwa siku 30,000/= lkn makidhiano lazima yawepo zaidi namba yangu Ni 0714064767
 
Mukiza mbona hufahamiki,mara Noah mara bodaboda.
Mara Hiace,mara unauza figo.
Hadi leo Noah hujapata?au watu wanakustukia kwamba unaweza kuwa killer wa magari
 
Mi nikajua unataka ya kununua?ilikuwepo ya m 5 na iko fresh.
 
Mukiza mbona hufahamiki,mara Noah mara bodaboda.
Mara Hiace,mara unauza figo.
Hadi leo Noah hujapata?au watu wanakustukia kwamba unaweza kuwa killer wa magari

nashukuru kwa kuni hukumu ILA Mungu yupo juu yakauli zako, Mimi niliyemwahangahikaji najua nini maana ya maisha
 
mi ninayo nyeusi tinted utafanya kazi!!

Mimi ntafanya kazi maana Kuna mabosi wengine wanaleta Noah mbovu nashindwa kufanya nayo kazi kubeba abiria WA buku buku matokeo yake wanasema Ni bora wapande daladala
 
Najua Zanzibar spice wewe Ni mtu WA kukatisha tamaa ILA Mungu yupo we Ni hukumu bila uhakika na Hilo unalonitamkia
 
huku mtaani kwetu hutapata maana wanasema nyeusi zinatumika kuteka watoto...
 
Najua Zanzibar spice wewe Ni mtu WA kukatisha tamaa ILA Mungu yupo we Ni hukumu bila uhakika na Hilo unalonitamkia
Mukiza soma vizuri uzi wangu,sio kwamba nakukatisha tamaa,ila najaribu kuweka wazi hili suala.
Hakuan sehem niliosema kitu amachao huja request.
Sasa ndio nilitaka kujua kwamba kuhusu Noah,mbnona nakumbuka ni muda mrefu sana unaomba,na hapo unasema tena kwamba watu wakileta gari zinakuwa mbovu sana.Sasa ndio najiuliza hapo inakuwaje,Noah hadi iwe mpya
 
sija maanisha mpya nimemaanisha iwe na angalau ya kufanya kazi pale kimara mwisho kwa ajili ya abiria sasa ukileta mbovu mbovu zilizochoka zimetumika mkoani vijijini au pita pale uone Noah zinavyong'aa pale ILA sio mpya zipo kwenye muonekano mzuri hata abiria ukiita wanapanda
 
Kuna sehemu za kimara usafiri Ni shida so kimara ndio mpango mzima kuhusu noah
 
Najua Zanzibar spice wewe Ni mtu WA kukatisha tamaa ILA Mungu yupo we Ni hukumu bila uhakika na Hilo unalonitamkia

Mkuu nimesoma hii comment nikaona Huruma Sana usikate tamaa na Mungu akutetee....
 
Sure,abiria wengi wanajipenda siku hizi,huwezi kumcharge mtu bei kwa noah kimeo
Vipi mpango wa bodaboda yule jamaa alikupa?
hapana alileta ikiwa na yeye SI ya kwake nikamwambia naomba nimuione mwenye pikipiki niingie nae mkataba akakataa nikaogopa labda kaichapa huko halafu ananiletea mimi
 
Hahahah,mzeee ukasepa ukaogopa lupango?
Ngoja nitakucheki,kama mpango ukiwa mzuri nikupe SUnlg mpya.Naweza kukutafuta ndani ya wiki hii,kisha ukaonana na shemeji yako,then mkakabidhiana,maana yupo huko kwenye Graduation ya watoto wetu.
 
sawa asante Sana mkuu maana mi nataka kufanya kazi kwa amani sio mambo mengine sijui pikipiki umeipata wapi kama Ni wewe haina tatizo otherwise ntashukuru
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom