M madivi Member Joined Jul 21, 2014 Posts 14 Reaction score 6 Jan 6, 2015 #1 niaje wadau,naitaji msaada wenu,kwa hizo gar hapo ni ipi ambayo naweza kuitumia kibiashara na ni biashara ipi?mana mm nafikiria kufanya as a tax ya abiria,so maybe kuna mtu ana idea zaid ya hyo na ni nzuri atakua amenisaidia,shukran.
niaje wadau,naitaji msaada wenu,kwa hizo gar hapo ni ipi ambayo naweza kuitumia kibiashara na ni biashara ipi?mana mm nafikiria kufanya as a tax ya abiria,so maybe kuna mtu ana idea zaid ya hyo na ni nzuri atakua amenisaidia,shukran.
S silent lion JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 1,615 Reaction score 2,363 Jan 6, 2015 #2 Nunua noah
DONALD JF-Expert Member Joined Feb 18, 2010 Posts 275 Reaction score 35 Jan 8, 2015 #4 Njoo uchukue noah bado mpya km 20,383 tu,no. C nyeusi... Nicheki whatsap 0755 927881 nikutumie picha, Bei 9.5M negotiable...!!
Njoo uchukue noah bado mpya km 20,383 tu,no. C nyeusi... Nicheki whatsap 0755 927881 nikutumie picha, Bei 9.5M negotiable...!!