Noah au Hiace inahitajika

Noah au Hiace inahitajika

mukiza2014

Member
Joined
Nov 7, 2014
Posts
34
Reaction score
1
Mwenye nayo piga 0714 064 767 ili tufanye biashara ya kunikodisha halafu mwaka kesho itatumika kwenye shule ya nursery ipo Ubungo, nipo Dar. Dereva Ni Mimi mwenyewe.
 
Kuna watu wengine humu jamii forum wanachekesha wanaweza wakakuita njoo uchukue Noah wanakuletea Noah imechoka hata askari akiona lazima akusimamishe yaani huu mtihani
 
Wakuu kuna nissan caravan high roof hata namba sijaiweka mpya kibongo bongo nichek pm
 
Kuweni makini.......kwani namba za simu zinatakiwa zisajiliwe upya........Mnakujua Mtoni mtongani...........Dar?
 
Back
Top Bottom