Noa Bongo yako!

Noa Bongo yako!

Kirokonya

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
2,280
Reaction score
7,558
Fanya utambuzi kama inavyojieleza.
IMG_20210529_195554.jpg
 
Wiki jana nimeingia benki moja Mikoa Fulani nikakuta watumishi wamejikusanya kwa majonzi. Baadhi yao niliwafahamu Na nilipowadodosa wakadai mikopo yao kukwamishwa na maafisa utumishi.

Walidai kupewa majibu hayo na maafisa wa benki. Kuwa maafisa utumishi wamegoma kuingiza makato kwenye mfumo wa mishahara ambapo ndiyo taratibu ili mikopo itolewe kwa walengwa.

Wengi walionekana kuhuzunishwa na Jambo hilo .\

Nikajiuliza, ni nini kimesababisha maafisa utumishi hao kutotoa majibu ya uhakika au wahusika kurekebisha mfumo ili wahitaji wa mikopo waweze kupata stahiki zao.

Ni majuzi tuu tuishuhudia mfumo wa Lulu au ulipaji umeme ukihujumiwa na kuzua keep kwa watumiaji umeme nchi nzima. Ambapo Baada ya Waziri Mkuu kuingilia kati, na massa machache baadae tatizo likaisha.

Je, hapa Nako kuna umuhimu wa Wa Waziri Mkuu kuingilia kati ili Watumishi hawa wapate stahiki zao?
 
Cha ajabu mtu anaweza akajipinda kutafuta akijua kweli ndo akili yenyewe kumbe anaua macho bila kujua... ni kama zile puzzle unakuta mtu akishindwa anajuta kabisa na kujiona eti yeye ni kilaza kisa grades za akili zilizowekwa na mtu!
 
*Juu kuna mwamke na mwanaume wamekaa pamoja (2)
*juu katikati ya mchoro mtoto kaka pekeyake (1)
*Kwenye gari kuna watu watatu wametandia (3)
*Pembeni ya gari kuna mtu mmoja (1)

*Paka chini kabisa pembeni
 
Cha ajabu mtu anaweza akajipinda kutafuta akijua kweli ndo akili yenyewe kumbe anaua macho bila kujua... ni kama zile puzzle unakuta mtu akishindwa anajuta kabisa na kujiona eti yeye ni kilaza kisa grades za akili zilizowekwa na mtu!
Aiseee Mkuu,
Nakupa 5. Umenichekesha kwa kweli.
 
Back
Top Bottom