Kwa mara ya kwanza niliuangalia Mdahalo wa Mh Slaa kupitia Michuzi blog. Alipoulizwa maswali na mwendesha kipindi, hakika nawaeleza hakuna point aliyojibu. Kitu alichhofanya ni kama alivyofanya bungeni- alikuwa critical na wala hakutoa utatuzi wa tatizo.
Nitatoa mfano wa maswali haya mawili:
1. Mh Slaa, K AMPENI ZA MWAKA HUU ZIMELAUMIWA KUINGILIWA NA UDINI, NA CHADEMA KIMEKUWA KIKINYOSHEWA KIDOLE, NA PENGINE TUHUMA HIZO ZINAKULENGA WEWE Mh, wasemaje juu ya swala hilo?
Jibu: Nani asiyejua kuwa mimi ni mkatoliki au nani asiyejua kuiwa mimi nilikuwa Padre.......
Basi alibwabwaja hapo bila hata kujibu swali la msingi. Hatujakataa kuwa watanzania hawana dini zao wala hatujakataa kuwa watanzania na viongozi hawahudhurii misikitini na makanisani. Sasa ni nini anachotuambia hapo. Baada ya hapo akaja kwenye profesional yake ya kutoa critics kwa wengine. Huyu ni rais kweli au kichwa maji.
2. Elimu bure, utawezaje hilo.
Jibu: Mh Kikwete ameorder mabango ya picha yake ya kampeni toka Kanada. Na yamesafirishwa kwa ndege. Na yamesambazwa nchi nzima. Hata kule mtwara kuna nyumba inataka kuanguka lakini nje imebandikwa picha ya Kikwete. Gharama ya shughuli yote imeghalimu dola 1 mil.
Sasa hizo zingetumika kusomeshea wanafunzi zingetosha.
Kweli huyu mtu ni kichwa maji, wewe unaamini kweli kuwa dola 1 mil zinatosha kusomeshea wanafunzi tanzania nzima?
Majibu ya swali hilo yanahitajika yawe katika mtiririko ufuatao:
Idadi ya wanafunzi mwaka huu ni...........
Kila mwanafunzi anagharimu sh..........
Jumla ni sh..........
Pesa hiyo tutaitoa hapa sh.......pale sh.......na.....na...
Hivyo ndivyo wizara yake kivuli ya uchumi ilibidi ifanye mahesabu kabla ya kupayuka kwenye majukwaa elimu bure.
Huyu kwenye uchumi ni Mbumbumbu kabisaaaa
NO WAY, NO HOW, NO SLAA.

Unajua Kanisa lilichelewa kumletea majibu ya maswali hayo.
Zawadi unachekesha na kuhuzunisha.
Kwa mtazamo wako wewe UNA AKILI NA UELEWA MKUBWA KULIKO DR. Silaa na kuliko "Dr." Kikwete.
Sina uhakika kama unajua dola 1mil ni Tsh ngapi na zaweza kufanya nini; kwa taarifa yako hiyo ni sehemu tu ya hela zilizotumika kwenye mabango HAZIJATAJWA ZOTE.
Je tukiachana na mabango, UNAJUA T-SHIRT, VIATU(raba), TRACK SUIT, KOFIA, VITAMBAA, KANGA, BEJI n.k NGAPI ZIMESAMBAZWA KWA WALALA HOI? Je uniform za makada wakubwa? Je MAGARI GX/VX MANGAPI MAPYA YAMENUNULIWA? Makamba ameziita pesa za magari kuwa ni "PESA ZA MAANDAZI TU"= hivi ni vijisenti tu.
Angalia mfano huu; Nchi kama Botswana yenye uchumi bora sana katika Afrika na watu wake wakihesabika si maskini, KIONGOZI ANAYEWANIA MADARAKA HAWEZI KUTUMIA HELA KAMA HIZO KWA MABANGO TU YA KUJINADI.
Mimi nakushauri ujiandae kugombea uraisi awamu ijayo.
Kwa mara ya kwanza niliuangalia Mdahalo wa Mh Slaa kupitia Michuzi blog. Alipoulizwa maswali na mwendesha kipindi, hakika nawaeleza hakuna point aliyojibu. Kitu alichhofanya ni kama alivyofanya bungeni- alikuwa critical na wala hakutoa utatuzi wa tatizo.
Nitatoa mfano wa maswali haya mawili:
1. Mh Slaa, K AMPENI ZA MWAKA HUU ZIMELAUMIWA KUINGILIWA NA UDINI, NA CHADEMA KIMEKUWA KIKINYOSHEWA KIDOLE, NA PENGINE TUHUMA HIZO ZINAKULENGA WEWE Mh, wasemaje juu ya swala hilo?
Jibu: Nani asiyejua kuwa mimi ni mkatoliki au nani asiyejua kuiwa mimi nilikuwa Padre.......
Basi alibwabwaja hapo bila hata kujibu swali la msingi. Hatujakataa kuwa watanzania hawana dini zao wala hatujakataa kuwa watanzania na viongozi hawahudhurii misikitini na makanisani. Sasa ni nini anachotuambia hapo. Baada ya hapo akaja kwenye profesional yake ya kutoa critics kwa wengine. Huyu ni rais kweli au kichwa maji.
2. Elimu bure, utawezaje hilo.
Jibu: Mh Kikwete ameorder mabango ya picha yake ya kampeni toka Kanada. Na yamesafirishwa kwa ndege. Na yamesambazwa nchi nzima. Hata kule mtwara kuna nyumba inataka kuanguka lakini nje imebandikwa picha ya Kikwete. Gharama ya shughuli yote imeghalimu dola 1 mil.
Sasa hizo zingetumika kusomeshea wanafunzi zingetosha.
Kweli huyu mtu ni kichwa maji, wewe unaamini kweli kuwa dola 1 mil zinatosha kusomeshea wanafunzi tanzania nzima?
Majibu ya swali hilo yanahitajika yawe katika mtiririko ufuatao:
Idadi ya wanafunzi mwaka huu ni...........
Kila mwanafunzi anagharimu sh..........
Jumla ni sh..........
Pesa hiyo tutaitoa hapa sh.......pale sh.......na.....na...
Hivyo ndivyo wizara yake kivuli ya uchumi ilibidi ifanye mahesabu kabla ya kupayuka kwenye majukwaa elimu bure.
Huyu kwenye uchumi ni Mbumbumbu kabisaaaa
NO WAY, NO HOW, NO SLAA.
zawadi pole sana huyo unayemwita mbumbu mwenzako amefanya PhD kukaa darasani regardless ni ya specialization gani. Huyo mbumbu anapendwa na wasomi wengi mno wa Tanzania hii tena maprofesa wenmgine.We una elimu gani kwani? Tukuandalie media conference uulizwe masawali kama utaweza kuyajibu.
Umechelewa zawadi na JK wako tarehe 31 oct. tunawachinjilia mbali
Kibwengo wewe umelalia udini na chuki, hamna nafasi kabisa nyie
Ndugu Zawadi anaonekana hana uelewa (understanding) na yale yanayosemwa na kufafanuliwa na Dr Slaa, na nah and understanding yake si nzuri, na kwa hivyo katika hali kama hiyo Zawadi hawezi kujenga hoja kwa kutumia logical order.Bado hujawa critical ndugu yangu nakushauri urudi darasani ili unoe ubongo wako mapema.
Katika hierarch ya kujifunza na ili mtu awe critical kikweli kweili ni lazima uelewa wa ubongo wake ufuate hatua zifuatazo (1) to acquire KNOWLEDGE, (2)UNDERSTANDING (3) ANALYTICAL ABILITY (4) SYNTHESIS (5) EVALUATION.
Kwa hivyo ndugu yangu Zawadi unataka kutulazimisha uko stage ya 4-6 wakati maelezo yako yanaonyesha bado hujaqualify hata stage 1 na 2 ambazo ndizo basics.Pole sana, kazi kweli kweli.
nDUGU YANGU, zile pumba za Mh Slaa utazi evaluate vipi? Maana nimerudia mara mbili kuzisikiliza hata data moja ya utatuzi wa matatizo hakuna. Data alizonazo ni zile za profesional yake ya kuwa Critical, yaani zimepotea, zimepotea na ...na...na Ufisadi. Anahitaji ngapi hasemi, sasa utaanalyse wapi?
Tuchukulie kuna pesa za ufisadi X sh, na pesa unazohitaji kutoa elimu bure ni Y sh. Tunachotaka kujua kama X sh ni nyingi kuliko Y sh au kinyume chake. Aanze na hapo tu, na wala haichukui zaidi ya dakika 4 kuwaeleza wananchi.
Huyu Mh Slaa si tu kuwa ni MBUMBUMBU katikia uchumi bali KATIKA MAISHA YAKE KWA UJUMLA.
By the way, kwanini aliacha upadre?
Unajua Kanisa lilichelewa kumletea majibu ya maswali hayo.
Tusubiri hadithi na nadharia za namna dkt.Slaa alivyoshindwa katika uchaguzi.Hawezi kushinda.
Wachawi ni Chadema na mgombea wao.Amejitengezea maadui wengi kwa kushindwa kuzuia mdomo wake.Hakuwa na hekima ya kuomba kura.
Miongoni mwa maadui zake ni wanaCCM ambao hawako tayari kushindwa bila kuonesha upinzani.Ana maadui miongoni mwa watu aliowataja vibaya bungeni,ukweli hauwezi kuwa kupitia mdomo wake pekee.Waislamu nao wanamuona bomu sana.
Huu wakati wa kampeni amejidhihirisha umbumbumbu wake kwa kutaja vitu vyenye utata mpaka viongozi wanaotarajia kufanya naye kazi pindi angeshinda wameshtuka.
Sina PhD, lakini amini usiamini, swali hilo la elimu nitalijibu vizuri sana kuliko huyu mbumbumbu wa Uchumi. Hii nina hakika 100%.
Hata wanafunzi wa NABOCE watajibu vizuri sana kuliko huyu mtu hatari.
Eti nilitoa mahesabu ya kupata pesa, lakini Bunge ikakataa! Walifanya sahihi kabisa maana sitegemei lolote lile zuri kuhusu uchumi toka kwa huyu mbumbumbu. Kama ushauri wake ni wa maana mbona hakutupa DONDOO katika mdahalo.
NO WAY, NO HOW, NO SLAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!