BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,141
- 10,871
Kazi ndiyo hizo sasa kuweka jamii katika maadili mazuri na mstari ulionyoka...jiulize kwanini VPN?umeshajua matumizi yake kwasasa vijana wanaangalia porn pitia VPNWale wamekosa kazi za kufanya
Vijana wapi wazee kibao tukishika simu zao Browser history imechafukwa.Kazi ndiyo hizo sasa kuweka jamii katika maadili mazuri na mstari ulionyoka...jiulize kwanini VPN?umeshajua matumizi yake kwasasa vijana wanaangalia porn pitia VPN
Wazee pia ni jamii mlengo ni jamii kuwa na maadiliVijana wapi wazee kibao tukishika simu zao Browser history imechafukwa.
Ila hii nchi