Richmoto Kushmoto
JF-Expert Member
- Jan 18, 2021
- 549
- 561
ehe ndio sina mkuu niajiri basi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huna kaz eeh
nilikuwa naisubiria mpka bas heb ngoja tukaioneHatima baada ya kuisubiri kwa hamu Filamu ya no time die Imeachiwa kwenye baadhi ya website kama pirate bay
ila wale wanangu ambao bando kipengele twendeni Netnaija.movie then scroll down u will see this Awesome dude daniel Craig [emoji95][emoji95][emoji95]
View attachment 2004243View attachment 2004244
Hatima baada ya kuisubiri kwa hamu Filamu ya no time die Imeachiwa kwenye baadhi ya website kama pirate bay
ila wale wanangu ambao bando kipengele twendeni Netnaija.movie then scroll down u will see this Awesome dude daniel Craig [emoji95][emoji95][emoji95]
View attachment 2004243View attachment 2004244
awesome kuna tatizo mkuuMwanaume mwenzako unamuandikia βthis awesome dudeβ kuna shida mahali sio bure
polen asee[emoji3][emoji3] huyu Jamaa katurusha roho
kinachokuja kichwani kwako au kwangu mzee babaNilivyoona Title ya Hii uzi nkabet kuwa utakuwa wewe umeanzisha maana mostly ya kila kinachokuja kichwan ww unaandika uzi[emoji23]
Ngoja niitafute...
Bhangosha....!!
Ulikuwa waapiiii....!!!!??
Nilikutafuta nikupitie twendege tukaangalie sikukuonapo iiigghhhh....!!
Ukuye nikusimulie huku unanifumua nywele...!π.
Hahah...
Ngoja nikutafute Kasinde, kombolela imenishinda...
Aahahahahahaa umenikumbusha kidali poo nankombolela....
Sugar unlike hunioni..... ππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈ Halafu nakimbia mbio kujificha π€£.
Dah!
Zamani kwenye mapagala tulikuwa tunacheza kombolela hiyo 2.0, mnabadilishana nguo kumchanganya yule anayezinga...
Basi unaenda butua lile kopo, pira la kuzinga huku yeye kashakosea kusema kombolela fulani...unawaokoa wenzako