No signal baada ya kuchange GPU, Nvidia Kwenda Ati Radeon

No signal baada ya kuchange GPU, Nvidia Kwenda Ati Radeon

Sasa hizi ndo post tunazotaka sio kila siku ngono mapenzi ujinga ujonga tu nimeenjoy kujifunza vitu
 
Nmejiskia aman na furaha baada ya kufika kwenye jukwaa lenye kutoa elim bila longolongo! Ahsanten sana wakuu
 
dah mambo ya zamani sana sifahamu sana kusema ukweli

ila kuna mifumo miwili ya processor ninavyofahamu
-RISC (reduced instruction set computing)
-CISC (complex instruction set computing)

hii RISC yenyewe inafanya mambo simple ina emphasize kwenye software, inakuwa na code size kubwa kufanya jambo dogo mfano
-load x
-load y
-add x+y
-save x+y

CISC yenyewe inatumia code kidogo kukamilisha jambo ambalo Risc ametumia code kubwa mfano kwa juu hapo kwenye CISC inakuwa

-load x+Y save z

soma zaidi hapa
RISC vs. CISC

hivyo ukiangalia hapo juu Utaona CISC ina Advantage over RISC linapokuja kutengeneza ma software makubwa kama Adobe products, CAD softwares, Games kubwa etc sababu unafanya mambo mengi kwa ku code kidogo. nafkiri hapa ndio Intel alipompita IBM.
nakubaliii
 
hio gpu inatumia watts 44 tu hivyo usiwe na wasiwasi maana hizo i3 nazo pia hazili sana umeme ni watts 65 tu. itakubali hio gpu.

ila hakikisha ni low profile gpu aka gpu inayodraw umeme kwenye motherboard na sio zile zinazohitaji extra cable toka kwenye power supply.
yeah ni low profile gpu
so ninunue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom