No retreat no surrender

Huyu mzee hana hata aibu tangu enzi za nyerere yeye yupo mpaka sasa bado anagombana apatiwe nafas
 
kasinde, huyo mzee amekuwa kasisi, yupo kanisani kwetu hapa, Bunda tatzo sadaka hapa ni 5000 kwa wiki na yeye ana mkopo wa 800,000,000 alio kopa kwa ajili ya kugombea uraisi walahi imekula vibaya, naiona kisukari, preshaaaa, vile........... eheee Mungu mwepushe mzee wakuandika ilani, sasa anatunga sala mpya kanisani
 
anajua sana kuandika ilani nilikua sifahamu aise
 
Kiafrika tunasema huyu mzee zoba, yaani miaka yote aliyokaa serikalini bado maskini. Mh. Manenepa ametoa siri ya kuweza kupata utajiri kupitia uRC kwa shisha tu. Nakumbuka makamba RC alikula sana za wenye petrol stations maeneo ya makazi. Nasema Mzee Wasira alichezea shs chooni ndio baaaasi tena.
 
anajua sana kuandika ilani nilikua sifahamu aise
Kuandika sio tatizo, tatizo ni je zinaendana na uchumi wa nchi yetu? Milion 50 kila kijiji ona sasa, hata za maafa zinatushinda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…