PreGE2025 No reforms no election yazidi kuungwa mkono

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,886
Reaction score
828,468
"Kama WanaChadema tulitumia HAKI yetu kukishauri Chama chetu kupitia (waraka maarufu wa G55), lakini mpaka sasa ni wazi Chama hakijakubaliana na ushauri wetu. Katika Demokrasia kuna wengi wape, wachache wasikilizwe.

Ukifanya Fact-Check wengi wanasema kwa sasa twende na #NoReformsNoElection, sasa ni muda wa kuunganisha nguvu yetu katika #NoReformsNoElection.

Hivo basi nasihi tuendelee kuheshimu msimamo na mwelekeo wa chama kwa uaminifu na mapenzi yetu yote, adui yetu ni CCM" @VitusNkuna,
1744357264452.jpg
 
"Kama WanaChadema tulitumia HAKI yetu kukishauri Chama chetu kupitia (waraka maarufu wa G55), lakini mpaka sasa ni wazi Chama hakijakubaliana na ushauri wetu. Katika Demokrasia kuna wengi wape, wachache wasikilizwe.

Ukifanya Fact-Check wengi wanasema kwa sasa twende na #NoReformsNoElection, sasa ni muda wa kuunganisha nguvu yetu katika #NoReformsNoElection.

Hivo basi nasihi tuendelee kuheshimu msimamo na mwelekeo wa chama kwa uaminifu na mapenzi yetu yote, adui yetu ni CCM" @VitusNkuna,View attachment 3299874
Jana nilijawa na hasira za kukamatwa Kwa Lissu,niliamua kuwachangia Chadema laki9, ili mapambano yaendelee
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Najua mwamba upo kwenye research......hapo unamsubiri likes kama zote kutoka kwa wale jamaa zangu humu. Ukishazipata tu najua research itakuwa imeishia hapo maana utakuwa umeshapata majibu.
 
Ovyo kabisa. Katika waraka wao G55 walisema bayana kuwa kama mapendekezo yao hayatakubaliwa wataunga mkono msimamo wa chama chao. Ni upuuzi kuzungumza lugha za kichonganishi wakati kitu muhimu kuliko vyote ni chama kuunganisha nguvu. Hiyo haitawezekana kwa kusimangana.

Amandla...
 
“In the end, we will not remember the words of our enemies, but the silence of our friends.” Dr. Martin Luther King Jr. – Loyalty​

Chadema.
Stronger 💪 together.
 
Hebu fikirieni kama Lissu angesema CCM inampango wa kusambaza Virusi vya Ebola na M.Pox? Angehukumiwa kunyongwa hadharani wakati Makala analindwa naMapolisi
 
"Kama WanaChadema tulitumia HAKI yetu kukishauri Chama chetu kupitia (waraka maarufu wa G55), lakini mpaka sasa ni wazi Chama hakijakubaliana na ushauri wetu. Katika Demokrasia kuna wengi wape, wachache wasikilizwe.

Ukifanya Fact-Check wengi wanasema kwa sasa twende na #NoReformsNoElection, sasa ni muda wa kuunganisha nguvu yetu katika #NoReformsNoElection.

Hivo basi nasihi tuendelee kuheshimu msimamo na mwelekeo wa chama kwa uaminifu na mapenzi yetu yote, adui yetu ni CCM" @VitusNkuna,View attachment 3299874
Unabii inasema kila watakapojaribu kuzuia ndipo watakikuta wanaharibu zaidi.

Msivunjike moyo enyi wana wa Nchi.
 
Back
Top Bottom