Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,543
- 113,717
Patamu hapa kwa MAKAMU wa RAISI,CCM wanataka wawepo makamu wawili wa RAISI,na CUF wanataka makamu MMOJA tu,CCM wanataka inapotokea RAIS hayupo kwa njia yoyote ile,basi makamu wa PILI wa raisi ndio akaimu kiti,CUF wanataka awepo MAKAMU MMOJA tu(ambao wanategemea wataikamata nafasi hiyo) basi akaimu nafasi hiyo mara moja,mnasemaje hapa,ingawa hesabu ya CCM siielewi kabisa.
CCM wanajua lazima washinde urais siku zote, makamo akiwa CUF, rais anakuwa CUF ni kurudi kule kule...