No referendum for ZNZ; Yes for Unity Government!

Why are very much concern of Zanzibar constitution now than any other time?

Does Zanz.. constitution has anything to do with Tanganyika?

Is constitution for people or people for constitution?

With due respect there is something fishy behind the scenes!
1. CCM wants to deviate public opinion toward zanz..saga..funika kikombe cha richmond, atc, na uzembe mwingine
2. Mainlaind should stop nonsense politics eveytime, they have to make decisions for which respect zanzibar public opinion
 
Referendum ni kama uchaguzi mkuu maana unahusisha watu wote nani atasimamia hiyo referendum kama ni hii hii ZEC au NEC na kama watatumia daftari la wapiga kura hili lililo na mgogoro ni dhahiri matokeo yatapingwa na upande mwingine mifano ipo mingi refer matokeo ya chaguzi zote tatu au wataita AU au UN wasimamie, kama ni serikali yetu bado serikali ni sehemu ya tatizo badala ya kutibu itazidisha tatizo.

Ninachoiomba CCM iheshimu maamuzi yeyote ya Wawakilishi kwa sababu wako pale kwa mujibu wa sheria na wanawakilisha watu vinginevyo watatufanya tuanze kuamini kuwa chombo cha wawakilishi ni kama bendera tu na kipo pale kutimiza malengo ya CCM na si ya wazanzibari.

Nani atatuhakikishia kuwa matokeo ya referendum hayatakuwa-tempered ku favor upande mmoja. Nia ya unity government ni kuondokana na ukiritimba wa ZEC na vyombo vyote vinavyosimamia chaguzi mbali mbali ambavyo haviaminiwi na CUF kama CCM bara wanaona ni lazima kuwe na referendum basi atafutwe msimamizi ambaye atakubalika na pande zote ili matokeo yawe fair kwa wote.

Kama wataogopa referendum kwa sababu TU, ya kutoamini usimamizi wa matokeo ya referendum hiyo, maana yake hata uchaguzi utakaotoa mshindi na mshindwa ili waungane kuunda serikali ya mseto hautafanyika kwa amani sababu ya kuogopa matokeo kuwa tampered.

Serikali ya mseto siamini itasababisha aliyetangazwa kushindwa hata kama anaamini kashinda atakubali kujiunga na serikali kwa sababu tu ya mseto huo? Siyo kweli hata kidogo bado atataka yeye ndo aongoze serikali hiyo.

Si ajabu pamoja na sheria hiyo kuundwa serikali ikashindikana sababu ya mambo hayo, kama ilivyowahi kutokea wajumbe wa baraza la wawakilishi wa CUF walivyogoma kushiriki vikao sababu ya madai fulani fulani licha ya kuwa walikuwa washindi katika majimbo yao.

Katika hayo lazima kuamini katika usimamizi, uwe wa referendum au uchaguzi kama itaamuliwa hivyo, au vyovyote vile itakavykubalika kuamini USIMAMIZI HAKUKWEPEKI, vinginevyo hamna lolote.
 
Hali inavyojitokeza sasa kuna dalili zinazoonyesha kuwa CCM bado imo katika usingizi wa "Utawala wa Chama Kimoja". Nashangaa sana hizi nguvu inazotaka kuonyesha CCM sasa mbele ya vyombo kama vile Baraza la wawakilishi au Bunge inazipata wapi?. Nafikiri katiba zingepitiwa upoya na kupigwa brush ili kuhakikisha kuwa CCM kweli inaondoshewa yale ambayo inaweza kujivunia ambayo ni batili katika utawala wa demokrasia ya Vyama vingi. Kwa tuanzie na Baraza la wawakilishi.
 
Pasco & Mwanakijij,
you guys have spoken. CCM is using a delay tactics method and it will soon backfire on them. it is also good that now wa Unguja they are coming to know that CUF can rule ZnZ and no problem at all. whoever wins can form a govt but it is much embarrasing when you see the clear divisiom btn Unguja and Pemba. Since Unguja are many, normally they may win the election by simple majority but how about the Pemba people who by majority have chosen the opposition? There is a point to have a govt which will involve the rivals and their clear positions should be clearly defined before the election when people are sober and not driven by emotions. otherwise CCM may be acting ndivyo sivyo.
 
Wny referendum at this point in time, when we have got an election around the corner? Something is not right, I presume maybe until we see Seif Sharrif Hanad as a co-president or CUF takes power by any means then their followers will agree that there is peace. Let’s not kid ourselves CCM is failing to deliver and that’s one of the many reasons we face difficult times ahead. Can we really trust these people in the leadership?

What we need at the moment as Tanzanians is a free and fair election. If the president has failed to protect the constitution of the united republic of Tanzania he should resign forthwith.
 
Kama wataogopa referendum kwa sababu TU, ya kutoamini usimamizi wa matokeo ya referendum hiyo, maana yake hata uchaguzi utakaotoa mshindi na mshindwa ili waungane kuunda serikali ya mseto hautafanyika kwa amani sababu ya kuogopa matokeo kuwa tampered.

Serikali ya mseto siamini itasababisha aliyetangazwa kushindwa hata kama anaamini kashinda atakubali kujiunga na serikali kwa sababu tu ya mseto huo? Siyo kweli hata kidogo bado atataka yeye ndo aongoze serikali hiyo.

Si ajabu pamoja na sheria hiyo kuundwa serikali ikashindikana sababu ya mambo hayo, kama ilivyowahi kutokea wajumbe wa baraza la wawakilishi wa CUF walivyogoma kushiriki vikao sababu ya madai fulani fulani licha ya kuwa walikuwa washindi katika majimbo yao.

Katika hayo lazima kuamini katika usimamizi, uwe wa referendum au uchaguzi kama itaamuliwa hivyo, au vyovyote vile itakavykubalika kuamini USIMAMIZI HAKUKWEPEKI, vinginevyo hamna lolote.

Mimi nafikiri hujui maana ya referendum usichanganye referendum na uchaguzi mkuu niliposema referendum ni kama uchaguzi mkuu nilikuwa na maana ya idadi ya watu watakaohusishwa ni wananchi wote wa zanzibar wenye haki ya kupiga kura watashiriki.

Referendum si kuchagua serikali ya mseto ni kuwapa wananchi nafasi ya kutoa maoni yao kama wanakubali au kupinga kuwepo kwa serikali ya mseto ambapo mimi nilisema referendum haina maana kwa wakati huu wawatumie wawakilishi wao tu

Serikali ya mseto itakayopatikana ndiyo itaunda vyombo mbalimbali vilivyo huru ikiwamo ZEC itakayosimamia uchaguzi mkuu na kutoa mshindi halali atakayekubalika na pande zote.
 
mimi naona kama ccm wanataka kura ya maoni ya wanchi wa zanzibar,vizuri lakini tuanze na kura ya maoni kuhusu muungano...tunautaka au hatuutaki?

YOU CAN FOOL SOME PEOPLE SOMETIMES, BUT YOU CAN'T FOOL ALL THE PEOPLE ALL THE TIMES....
 
By the way, referrendum itakuwa na maana kama tu itawashirikisha Watanzania wote.

Watu wana assume kwamba watu wa bara hawana tatizo na muungano, lakini mpaka referrendum iseme hii itabaki kuwa assumption tu.Kwa hiyo tunataka referrendum Tanzania nzima.Muungano ukipata less than 50% either bara au visiwani unakufa.Ukipata zaidi ya 50% kote uendelee.Lete waangalizi wa kimataifa, the works.

Kuanzia hapo muungano ukipita halafu mtu alete chokochoko mshukieni na nguvu zote za dola, hata risasi mpigeni.Si mna consent ya wananchi bwana?

Lakini vile vile hata kama upande mmoja tu ukikataaa muungano, hata kwa kuupitisha kwa 49%, tukubali matokeo na kuuvunja.
 
I am for a referendum! Why not? Canada has had two referendums asking its citizens whether Quebec should secede form Canada. The first was in 1980 and the second one in 1995. The second motion was defeated narrowly by a 50.58% "No" to 49.42% "Yes margin and no endless chaos ensued as a result of it. So why not let the people of Tanganyika and Zanzibar directly have a say on it?
 
that is why I'm saying.. we can not govern by referendums! What if the people of Kilimanjaro would like to have a referendum to create their own little republic? What about the people of Mtwara who would like to have a referendum to decide if they want to be part Tanzania or to be part of Mozambique? What about people in Kagera who would also want to have a referendum?

Kama tunawakubalia Zanzibar kufanya referendum ya kubadilisha mfumo wa utawala kwa sababu ya kura ya wengi wape, kwanini tuwatakalie watu wa mikoa hiyo wakija na hoja zao?

Itakuwaje kama suala la Kadhi nalo likataka liamuliwe kwa referendum? why not?

Itakuwaje kama CCM watakuja na wazo la referendum kuamua (kama walivyofanya kwa makosa) kama Watanzania wanataka kuendelea na mfumo wa vyama vingi au kurudi kwenye mfumo wa chama kimoja? Itakuwaje kama referendum hiyo ikapita kwa asilimia 80? should we then go back to single party state?

It is a stupid idea and I'm sorry to be the first one to call it as such!

If we agree on a principle that politically divisive issues need to be resolved by referendums then we should carry that principle to its eventual logical conclusion.
 
Asalaam Aley-kum. Niko ndani ya Ukumbi wa Baraza La Wakilishi hapa Zanzibar kwenye Mkutano wa Kumi na Nane, Kikao cha Saba.Niko kusikiliza mjadala juu ya Uanzishwaji wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar. Mhe. Aboubakar Khamis Bakari tayari ameshaiwasilisha mezani. Ataisoma na itafuatiwa na majadilino.

Nitawaletea ile michango tuu yenye nguvu za hoja, na ili kubalance, hata michango ya hoja za nguvu, pia nitawaletea

Hivi sasa ndio Mhe anashuka na hoja yenyewe.
.
 
asante pasco kwa habari hizi na umekuwa msaada mkubwa kwa JF kuhusiana na habari kama hizi. Kazi yako nini wewe maana mikutano yote unatuletea mambo live. Dodoma hujaenda?
Pata nakala ya hiyo hoja ili tuscan basi.

Maalim Seif yupo ukumbini kufuatilia hoja au msaidizi wake Jussa?
 
that is why I'm saying.. we can not govern by referendums! What if the people of Kilimanjaro would like to have a referendum to create their own little republic? What about the people of Mtwara who would like to have a referendum to decide if they want to be part Tanzania or to be part of Mozambique? What about people in Kagera who would also want to have a referendum?

Kama tunawakubalia Zanzibar kufanya referendum ya kubadilisha mfumo wa utawala kwa sababu ya kura ya wengi wape, kwanini tuwatakalie watu wa mikoa hiyo wakija na hoja zao?

Itakuwaje kama suala la Kadhi nalo likataka liamuliwe kwa referendum? why not?

Itakuwaje kama CCM watakuja na wazo la referendum kuamua (kama walivyofanya kwa makosa) kama Watanzania wanataka kuendelea na mfumo wa vyama vingi au kurudi kwenye mfumo wa chama kimoja? Itakuwaje kama referendum hiyo ikapita kwa asilimia 80? should we then go back to single party state?

It is a stupid idea and I'm sorry to be the first one to call it as such!

If we agree on a principle that politically divisive issues need to be resolved by referendums then we should carry that principle to its eventual logical conclusion.

Aisee hii ni very poor argument ndugu!

Huwezi kulinganisha mtwara, iringa kilimanjaro na Zanzibar

Zanzibar ni Nchi uliyounganishwa na Tanganyika..sitegemee watu wa kilimanajro watake referundum agh!

Hii colonial thinking kwamba zanzibar ni sawa na mkoa ndio maana nawaunga mkono wazenj wajitenge na bara, maana sipendi kukaa kwenye nchi inayo colonize nchi nyingine kwasababu ya powers zake!
 
Anzisheni hiyo serikali kwa faida yenu na vizazi vijavyo, huku bara wapinzani wnaenda kwenye uchaguzi wakijua wanashindwa na wakipata hizo kura ndogo hawaingii serikali eti mambo taratibu taratibu!!

Mkiishaanzisha hiyo serikali mkae pamoja muangalie jinsi ya kupeana talaka na Tanganyika.

Be careful mkikosana hatutaki wakimbizi huku!
 
Hoja ndio inateremka. Hoja yenyewe ina dondoo 5 na maombi 9 kwa BLW ili mambo yote yamalizike kabla ya Uchaguzi Mkuu, ili uchaguzi huo ufanyike tarehe ile ile. Hivyo ule uvumi kuwa CUF inaomba Karume aongezwe muda, hoja hiyo haipo!. Hivyo uchaguzi Zanzibar uko pale pale.
 
Aisee hii ni very poor argument ndugu!

Huwezi kulinganisha mtwara, iringa kilimanjaro na Zanzibar

Zanzibar ni Nchi uliyounganishwa na Tanganyika..sitegemee watu wa kilimanajro watake referundum agh!

Hii colonial thinking kwamba zanzibar ni sawa na mkoa ndio maana nawaunga mkono wazenj wajitenge na bara, maana sipendi kukaa kwenye nchi inayo colonize nchi nyingine kwasababu ya powers zake!

Jifunze historia utajua kuwa kabla ya kuwepo Tanganyika kulikuwepo na falme, city-states na tawala mbalimbali.. na Kilimanjaro nusura waombe kuwa taifa huru...kabla ya sehemu nyingine za Tanganyika!!
 
unavyoona, wawakilishi wa ccm wapoje? wanapiga makofi wamekaa kimya tu au hali ipoje maana yake.

vipi kuhusu kura za maoni? swali gani wananchi wataulizwa katika kura za maoni
 
Hoja imeshasomwa, majadiliano yanaanza, wa kwanza kuchangia ni Waziri wa Sheria na Katiba wa Zanzibar. Mhe. Ameanza kwa kupiga nyundo baadhi ya mapendekezo ya huja husika. Amesema hoja zote anazoziunga mkono ni zile tuu zilizoko kwenye sera ya CCM, hivyo wananchi lazima washirikishwe kwa njia ya kura ya maoni.

.
 
asante pasco kwa habari hizi na umekuwa msaada mkubwa kwa JF kuhusiana na habari kama hizi. Kazi yako nini wewe maana mikutano yote unatuletea mambo live. Dodoma hujaenda?
Pata nakala ya hiyo hoja ili tuscan basi.

Maalim Seif yupo ukumbini kufuatilia hoja au msaidizi wake Jussa?
Nakala ninayo, kuscan hapa ZnZ ni issue. Maalim hayupo ukumbini, ila wageni ni wengi, wakiwemo wazungu wazungu ambao nadhani ni wanabalozi.
 
Back
Top Bottom