Naam, homa ya Ngabu ipo kila sehemu hadi kwenye kilindi cha moyo wako na ndo maana upo hapa.
Unaona sasa...ndo athari za homa ya Ngabu hiyo.
Lazima ipenye tu. Hakuna namna.
Eti hunipendi...teh teh teh.
Ukuta ndio kitu gani??
Wewe huyo Ngosha si ndio kila siku unamwandikia magazeti humu?? Ushaniona hata siku moja nasupport huo Ukuta au namwandika huyo unayemwita Ngosha??
Amani na iwe kwako...Ebana eeh Mangi leo naona hauko vizuri.
Ngoja nikuache maana sitaki mtafaruku na wewe.
Wewe nakuheshimu sana yaani.
Ile offer ya Stella bado.
Uwe na jioni njema sana Mangi.
Amani.
Hakuna cha homa kila sehemu...wewe ndio unajiweka kila sehemu.
Hivyo kukukuta kila sehemu sio kwamba tunakufuatilia saaana...adimika uone.
Nobody care.
Ngabu...naona hilo neno lilikuumiza sana kisaikolojia.
Maana ile siku ulimwaga povu sio kidogo,nikadhani yameisha na umesahau tayari...
Kurudia rudia kwako hili neno ni dhahiri lilikuumiza sana.
Am taking back my word,sikuchukii tena,kuwa na amani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amani na iwe kwako...
Wewe unanifuatilia na ndo maana ukatangaza eti hunipendi huku unanipenda. Usiyempenda huwezi hata kuhangaika kumfuatilia nini kaandika.
Najua Kiingereza mgogoro kwako...hapo ni 'nobody cares'. Siyo 'nobody care'. Sawa?
Unaweza kweli ukawa unaona hivyo lakini unachokiona kikawa hakipo na ni maruerue yako tu.
Na mimi naweza nikasema hata mimi nakuumiza sana ndo maana huishi kucheka cheka kila uonapo mtu kanijibu au kaniandika vibaya.
Wala halikuwa povu. Wewe labda ndo uliona povu.
Nami naweza kusema kufurahia furahia kwako kila uonapo mtu kanikejeli ni dhahiri shahiri kuwa nimekukaa moyoni na kichwani mwako. Hapo vipi?
Just an excuse to be on my good graces. That's all you want.
But you can take that 'taking back', shine it up real good, and shove it up where the sun don't shine
[emoji23][emoji23][emoji23] Narudia tena,sijawahi kukufuatilia...uwepo wako kila sehemu huku JF ndio unaopelekea uone kama nakufuatilia,wewe kama nani hadi nipoteze muda wangu kukufuatilia?
Okay, sawa. Unadai hujawahi kunifuatilia, siyo?
Lakini ushawahi, mara kadhaa [kama sijakosea] kusema kuwa hunipendi. Uongo kweli?
Sasa hunipendi kivipi kama hujawahi kunifuatilia?
Hivi Ngabu kumbe na wewe una akili nzito hivi?
Au umeshanielewa basi tu unatamani kuendelea 'kuargue' na mimi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Well...tufanye hujanielewa,ngoja sasa nikufafanulie [emoji12]
Nimesema Sijawahi kukufuatilia,ila uwepo wako kila sehemu humu JF unakufanya uone kama nakufuatilia wakati sivyo.
Iko hivi...threads nyingi kati ya nizisomazo humu upo,sasa nisichangie kisa wewe upo?
Oh...jamani!Laiti kama ningejua hili neno lingekuumiza kiasi hiki nisingelisema.
Sometimes tunachukulia mambo poa kumbe wenzetu wanaumia sana,kupitia wewe nimejifunza.
Sitokaa nimuambie mtu simpendi humu JF,sipendi kuumiza wengine tena.
Namba nione pic ya body yako yoteThis is where it all goes down.
Where that Ngabu body is sculpted.
LA Fitness baby
View attachment 390015
It goes down in the gym.....
View attachment 390016
Goals baby....goals!
View attachment 390017
Angled leg press....massive weights!
View attachment 390019
Guns baby.....
View attachment 390020
Now what...? Take that.
We ni mchuchu?Namba nione pic ya body yako yote
Aliekwambia kakudanganya.iki kijamaa kinasapoti ushoga, na naskiaga mabaunsa wengi ni mashoga..
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100]
naona umeamua kuja na ID yako ya kike kujikosha. kampa kampa tenaAliekwambia kakudanganya.
Usiamini kila usikiacho.
naona umeamua kuja na ID yako ya kike kujikosha. kampa kampa tena
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100]
I think you are.. unaandika comment mara unafuta, ze stlago is lili [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duhhh mkuu are you that paranoid?
I think you are.. unaandika comment mara unafuta, ze stlago is lili [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
lugha ninayoijua vizuri kuliko wewe changanya na ukoo wako wote [emoji41]
Hapo nilipo "highlight" ndio lugha gani hiyo. ?
Haya mkuu umeshinda.lugha ninayoijua vizuri kuliko wewe changanya na ukoo wako wote [emoji41]